Msaada wa maoni yenu katika research topic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa maoni yenu katika research topic

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kipilime, Aug 24, 2011.

 1. K

  Kipilime Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF, Naamini hili ni jamvi lililojaa watu waelewa, wasomi, na wenye upembuzi yakinifu. Katika kuhitimisha masomo yangu napaswa kufanya research. Nimeamua kuangalia THE CHALLENGES OFIMPLEMENTATION OF OPEN PERFORMANCE REVIEW AND APPRAISAL SYSTEM (OPRAS) INTANZANIAN SECONDARY SCHOOLS. Hivyo kwa yeyote mwenye mchango wa mawazo, critiques, suggestions and opinions, naomba anipe mchango wake

  Naomba kuwasilisha
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni topic ambayo utategemea sana data kutoka mashuleni (head ts, teachers, ed. officers)pamoja na mtandao. Ukipata nafasi nenda UDSM library (both main and education library) ujaribu kusearch dis. ambazo ni similar na yako ili upate mwanga wa nini wenzio wamefanya na kuweka wazi gap ya reseach yako.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  be specific,
  is it sec schools teachers??
  sec schools head teachers?
  pia anza na neno examination...i suggest; EXAMINATION OF THE MAIN CHALLENGES OF IMPLEMENTATION OF OPRAS TO SECONDARY SCHOOL TEACHERS IN TZ, usisahau kusema acase study of .......(eg mkoa, kanda nk) maana huwezi ku cover the whole country.

  i also stand to be corrected.
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ofcourse ni walimu wa sekondari, make research inahusu kada hiyo.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  HRM mzumbe products weupe sana.
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Title ni ndefu sana labda ingekuwa hivi: Open Performance Revew and Appraisal System (OPRAS) in Secondary Schools (in Tanzania). Research problem yaweza kuwa 'finding out if any challenges in implementing the system and how they are addressed'.
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Sio lazima kusema na study area kwenye title kwani itawekwa kwenye research design part. Sasa kwani huyu anataka ku-examine challenges au implementation ya hiyo system? Mimi nafikiri anataka ku-examine au assess the system na sio challenges zake. Kama ni suala la challenges basi itakuwa ni "Identifying challenges of impelementing OPRAS in secondary schools in Tanzania"
   
 8. K

  Kipilime Senior Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante kwa mchango wa mawazo Mdau, lengo langu ni kuwa specific katika challenges za implementation ya OPRAS katika teaching cadre kwa sekondary zetu. Case study itakuwa shule tatu za sekondary Jijini Mwanza.
   
 9. K

  Kipilime Senior Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni kweli manake that can sound very long as well, Nadhani pendekezo lako ni zuri sana.
   
 10. K

  Kipilime Senior Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kaka inawezekana hilo likawa ni la kweli kwa mtu binafsi, Hata hivyo katika suala hili hapa si mahala pake
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  wewe nduka jamani! kha!
  <br />
  <br />
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hafanyi examination, anafanya study. na kama alivyosema mwanamayu, he doesnt have to mention study units kwenye title. by the way,its important kuchagua site randomly ili kuepuka bias (well,japo wakati mwingine tunachakachua for convinience bt let it appear kama utachagua randomly). tengeneza kwanza study questions zitakusaidia kufikiria uboreshe vipi title
  <br />
  <br />
   
Loading...