Je, eti open university programs hutoa elimu isiyokidhi kiwango cha kimataifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, eti open university programs hutoa elimu isiyokidhi kiwango cha kimataifa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SOLOGWIGABA, Aug 24, 2011.

 1. S

  SOLOGWIGABA Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kuna mdogo wangu amemaliza Form six HGL mwaka juzi akapata Division 3 akiwa na principle tatu.Hata hivyo kulingana hali ya maisha kuwa ngumu niliamua kumtafutia kibarua amudu kujikimu mahitaji yake.Kwa sasa anaendelea na kibarua na nimemshauri mwaka huu ameomba Open University na amepata Mass Communication.Sasa tatizo kuna rafiki zake walioko vyuo mbalimbali kama UDOM,UDSM na kwingineko wanamshauri asisome Open eti kuwa kiwango cha elimu inayotolewa haikidhi kiwango cha kimataifa na kuwa OUT ni wasumbufu na hawaratibu vizuri Programs zao.Ndogo amekata tamaa na mimi napenda asome huku akifanya kazi kwa ajili ya kujikimu.Naomba ushauri wenu wakuu na ukweli kuhusu Open kwa wanaofahamu kwa kina hasa waliosoma au wanaoendelea kusoma OUT.
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  usiwe na hofu, ukishasikia inaitwa "university" tena ya umma, iko kimataifa, labda mwanafunzi mwenyewe aboronge, kumbuka hiyo ni open na kama yuko katika open/distance mode anatakiwa kuwa na self discpline zaidi kwenye masomo vinginevyo itakuwa kazi kwelikweli. mi nawafahamu wengi tu wamesoma hapo na wapo walipata hata zile scholarship zenye ushindani mkali sana na kuendelea na masomo nje ya nchi na wakafanya vizuri tu huko

  so kwa kifupi, binafsi sina wasiwasi na elimu ya pale!

  ubarikiwe sana
   
 3. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenye record za OUT kuhusu performance ukilinganisha ni vyuo vingine TZ ampe huyu bwana tafadhali dogo amuondoe hofu na fikra potovu.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Khaah!!open university,simshaur m2.
   
 5. S

  SOLOGWIGABA Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina ubarikiwe pia na ninashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri.Kama hautajari ningependa kujua location na addresse yako tafadhali
  <br />
  <br />
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  toa hoja na si kuropoka.
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  in what sense??
  maana hakuna utofauti na vyuo vingine, people graduate and acquire jobs, scholarships, promotion etc. tatizo wa tz sisi ni wagumu wa kufanya utafiti, utakuta mtu anaongea kuhusu ishu fulani bila ushahidi wala ukweli na usishangae wengine hata website ya OUT hawajapitia. duh tz hili jamani
  wenzetu wanakimbia sisi tunatambaa tu..... namshauri huyo dada afanye utafiti, tembelea website, fika hata campus ilipo uone hata customer services yao, maktaba, na takwimu mbalimbali. hapo utajiridhisha kwamba ujiunge au usijiunge vinginevyo nawewe upo kwenye mkumbo wa wa tz tusiopenda kusoma, kutafakari, kutafiti ila tunapenda unafiki, majungu, wivu, na pia si wazalendo.....
   
 8. g

  gervase Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpeleke dogo akasome OUT, Wenzio tulimalizia hapo na tukiwa kazini performance yetu iko juu sana, maana miaka yote anayosoma out vile vile ni kama anakuwa field akifanya research na ku-solve matatzo in real life situation. Dogo akasome Out bwana!
   
 9. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  open haina tatizo,mi nmefundshwa chuo fulan hapa bongo na malecturer wa2 ambao wamesoma OUT first degree na masters na walikuwa safi sana kuliko hata wale waliosoma wapi cjui...akasome tu
   
 10. R

  Rangi 2 Senior Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wiki iliyopita kuna mtu alipost thread hapa kuonyesha ranking za vyuo hapa Afrika.
  Katika vyuo vikuu vya Tanzania, OUT ilisimama katika nafasi ya NNE!!
  DOGO kaza buti, Open ni chuo kizuri tu, fuata maoni ya hapo juu, quote.
   
 11. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwa kifupi, kila nyanja hapa nchini ina regulator. mfano; mabenki regulator ni BOT, usafiri-SUMATRA, nishati-EWURA, mawasiliano-TCRA na elimu ya juu ni TCU. sasa kila chuo hapa nchini kinatambuliwa na TCU na hawawezi kuanzisha kozi, idara, faculty bila kupeleka proposal TCU. tunakoelekea hata exams zitakuwa znapitiwa na TCU b4 hazijafanywa(TCU wanaendelea kujipanga katika hili).
  kuhusu rankings za vyuo; hapa criteria/vigezo vinavyotumika ni vingi.mfano, idadi ya walimu, ubora wa learning facilities eg library, no of students graduating per yr, ushirikiano wa chuo na vyuo vya nje, idadi ya academic/research paper or publishments/machapisho yaliyotolewa na chuo mfano, udsm ni kubwa ilianza 1961 na tumaini 2002, OUT 1994....how can u rate them???
  suala la uwezo wa mwanafunzi wa chuo ni juhudi za mwanafunzi kwa 75%, wewe unatakiwa ujisomee, utafiti, uwe curious, nk. utakuta mtu anamaliza chuo hajui kuzungumza english, hapa ni chuo au yeye???
  tafakari
   
 12. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah, hakika katika thread hii hata mimi nimepata faida kubwa kwa maana watu wanapenda sana kupotosha wenzao.
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Naomba kujua Foundation Course huwa yanafundishwa masomo gani? Ngugu yangu aliomba akasome degree ya Environmental Science, lakini amepata ya kusomea Foundation.
   
 14. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  foundation ina parts 3 nazo ni arts, science na business studies
  SCIENCE
  1. communication skills
  2. physics
  3. chemistry
  4. biology
  5. development studies
  arts;
  1. english
  2.comm skills
  3.history
  4. geography
  5. dev studies
  pia tembelea www.out.ac.tz upate prospectus kwa ufafanuzi zaidi
   
Loading...