Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman mimi niliaply Dsm journalism ya kwanza na mass com ya 2 na zote nili qualify(eligible) ila baada ya kuuliza kuhusu izo coz nikaambiwa zipo nje ya compus na kama coz ilikuwa ni non-priority...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomben tofauti ya ivyo vitu viwil au ukipata 0% unapata ela ya chakula lakin fee aupew na no loan hauna vyote,anaejua anifaamishe na wengine wacofaham
0 Reactions
4 Replies
1K Views
......
0 Reactions
58 Replies
5K Views
katika selection zinazoendelea Tcu pamoja na kuanzaj kwa mchakato wa kuonesha qualified na not qualified lakini kwa nini kila alieomba udom hajafanikiwa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ukweli kuwa sasa english imekuwa lugha ya dunia, ni bahati mbaya tumejifariji na kiswahili na kushindwa kuwapa watoto wetu helimu nzuri hasa uwezo wa kuongea english kwa ujasiri kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF watu tunaenda field nextwk BODI YA MIKOPO ipo kimya, hatuna pesa za field. Tutaishi vipi huko?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu p0leni na majukumu... Kwa yey0te anaye weza kunipa msaada ktk swali hili afanye hivy0 tafadhali... ''If an aqueous solution boil at 100.5'C, at what temperature does it freeze? (For...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, mwakani nataka kumpeleka shule Jr. Kwa sasa natafuta shule ya awali na msingi, Morogoro, Arusha, Iringa,Mbeya, Mwanza, au Dar (spendelei sana dar)! Kama ni nje ya Tanzania iwe...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Jamani mimi nauliza kama 'water resources and irrigation engineering' ina soko? Na utafanya kazi kwenye maeneo yapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia wametangaza, mwenye taarifa zaidi tafadhali!
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ni ishara na uthibitisho wa ufisadi.Ni pale Chuo Kikuu cha Dodoma almaarufu kama UDOM.Fedha kwa ajili ya mkopo wa ada kwa wanafunzi waliomaliza chuoni hapo mwaka jana zimeyeyuka.Wanafunzi hao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf husika kichwa cha habari hapo juu. Tumeweza kushuhudia migomo kadhaa ya wanavyuo mbalimbali hapa Tanzania kiklwemo chuo cha UDOM. Miezi kadhaa iliyopita palitokea mgomo kakatika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiandikiwa ELIGIBLE au NOT ELIGIBLE kwenye ELIGIBILITY STATUS na QUALIFIED au NOT QUALIFIED kwenye QUALIFICATION STATUS je kuna tofauti?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wanajf wenzangu kwa wale waliosoma BVM au wenye uelewa juu ya hii kitu,tukizungumzia hali ya kitabu chake and future prospectus meaning value yake pamoja na maslahi (no jokes),asanteni!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
:hand:Wana JF; Binafsi nimesikitishwa sana na Bajiti ya Mheshimiwa Dokta......... ambayo haikuzingatia kuwa kuna watu ambao ni walalahoi pasee! Angalia inavyotaka kodi iongezwe kwenye mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tarehe 18 wanafunzi wanaanza mitihani yao ya mwisho wa semister napenda kutumia fursa hii kuwatakia kila la kheri katika mitihani yenu,.....,.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni siku ya nne leo maji hayapatikani udsm, kweli mambo hayaendi, vyooni na hakuingiliki! Shukrani hata kwa haya maji ya clean water yanayoletwa. Najua na ndugu zetu wengine waliopo nje ya Udsm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu jisomee mwenyewe hapa! 5 Graduate Programs That Aren't Worth the Money - Yahoo! Finance
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TCU wametutumia mesej kuwa kama una koz uliomba ukakuta hau-qualify unaweza kufanya mabadiliko. Chakushangaza hamna hiyo option ya kufanya mabadiliko au kuongeza program code, wadau kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Habari za siku nyingi wale wote mliosoma katika shule yetu ya TOSAMAGANGA mkoani Iringa. Kama wadau wakuu wa Tosamaganga, naomba tuanzishe TOSAMAGANGA INVESTMENT GROUP ambapo lengo kuu la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…