Kama ni kweli,maskini nimekwisha.msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni kweli,maskini nimekwisha.msaada tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kidotulotokordwak, Jun 19, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mimi niliaply Dsm journalism ya kwanza na mass com ya 2 na zote nili qualify(eligible) ila baada ya kuuliza kuhusu izo coz nikaambiwa zipo nje ya compus na kama coz ilikuwa ni non-priority cpati mkopo hata kumi,hata ela ya chakula ctapata kwahiyo inabidi nijitegemee chakula,ada,kupangisha karibu na chuo n.k,Kwa mimi mtoto wa kikabwela ambao msos wangu co wa draft nimekata tamaa, JE COZ UKISHAANDIKIWA LEGIBLE NA UKAIONDOA UKAEKA INGINE ITAFAA AU NDO UTAKUWA ULISHACHAGULIWA KWENYE ILE YA KWANZA?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Ulilazimishwa uziombe hzo kozi?
   
 3. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nimekuja kuuliza,kwa 2naoaply mara 1 co wote 2nafaham kuhusu undani wa coz 2nazojara,nafikir ungetoa ushauri badala ya kukejel
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Ok,hamna haja ya kubadili,cha kufanya ni kujiandaa tu kuyakabili hayo maisha yako mapya!
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndio Unaweza kubadili, Just follow the procedures
   
 6. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  SORRY KWA YALIYOKUPATA ila kabla hujabadili lazima uangalie mambo yafuatayo?
  1. ulichagua course hizo kwa sababu ilikuwa ni interest yako ya kusoma na uliangalia future zake kuwa utafika mbali
  sasa leo hii unataka kubadili kwa sababu hakuna uwezekano wa kupata mkopo na vitu vingine je unataka kuchagua kitu ambacho hukipendi bali tu kwa sababu ya kupata mkopo? please naomba usijaribu hicho kitu kitakuja kukusumbua maishani mwako maana hata hawa waalimu asilimia kubwa hawakupenda kuwa waalimu kwa sababu walilzimisha ili wapate mkopo hatimaye wanaishi kwa kuumia moyoni maisha yao yote.
  nashukuru mungu nikiwa mdogo niko nafikiri la tano nilikuwa natamani sana watu flani wanavaa tie very smart nikawa nimesema na mimi niwe hivyo. ngoma ilikuwa ni kwenye hesabu secondary ilikuwa inanipiga chenga ila nilijitahidi sana ili tu nifikie lengo langu nikalifaulu nikaenda mpka mwisho now nashukuru kazi nayoifanya huku ni kazi ambayo nilikuwa naitamani maishani hakuna raha kama hiyo asikuambie mtu maana job its self can be one of motivation to work hard on it. naomba ukabiliane na changamoto zilizopo chuoni maana chuo hujaenda kusoma tu na vile vile kujifunza kupambana na maisha pale yatakapoenda kombo so i wish all the best.
   
 7. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila tatizo ni uwezo wa kumudu izo gharama,je ni kwel kuwa non priority haina mkopo kabisa?
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpaka wenye "PRIORITY" wapate kwanza then pesa zikibaki ndo "NON PRIORITY" wanapewa kwa kuangalia vigezo!!!
   
Loading...