Ardhi universty nimewakosea nini??

nahisi kuchanganyikiwa hivi hawa tcu wana matatizo yaani jana kozi za ardhi niliandikiwa nimequalify but leo na log in nakuta kozi zote za ardhi nimeandikiwa not eliageble..!! Kwa sasa nimebaki na kozi 4 sasa sijui nifanyeje ushauri tafadhali..??

Mkuu na mimi pia nimekumbwa na tatizo kama lako sijui shida ni nini??
 
daah its unbeliavable ni jana 2 nimetoka kuchek nikakuta nimequalify but leo naingia nakuta cjaqualify i thnk hawa jamaa kila kukicha wanapunguza kozi moja badala ya nyingne
 
So what can We do ili mambo yawe safi?? Me kesho ntawa call nisikie eanasemaje
 
let me wait..coz kwa xaxa nimebaki na kozi nne wakinizingua nyingne ndo nitajua cha kufanya..
 
tatizo hawapokei..!! Nahc kesho nitakuta nimeandikiwa not eligeabl kwa hzo kozi zilizobaki
 
na 2 ya kumi na moja afu nimefanya changes kurudi tena wananiambia no application done
 
daah its unbeliavable ni jana 2 nimetoka kuchek nikakuta nimequalify but leo naingia nakuta cjaqualify i thnk hawa jamaa kila kukicha wanapunguza kozi moja badala ya nyingne

let me wait..coz kwa xaxa nimebaki na kozi nne wakinizingua nyingne ndo nitajua cha kufanya..

CBG eey senator ma email is mcmaswinho880@gmail.com kuna ki2 kimenizngua ni2mie ur email niku2mie my username and password unirekebishie coz ishu imezngua

Kuna wengine tukiona hivi inatufanya hata tuache kufuatiilia tatizo lako. Muwe serious vijana JF ni mkusanyiko wa watu wa age na calibre zote na si ajabu wengine wanahusika huko TCU kwa hiyo zingatia hayo wakati unaandika JF na utofautishe na FB.Sawa dogo?
 
Ume nena Mkuu lakini chamsingi ujumbe umefika
 
Jamani,mimi ndio nahisi kufa kufa,hadi kufikia jana nilikua nimeandkiwa eligible kwenye kozi 3 za udsm na 1 ya sua,ila leo nimekuta kozi moja ya udsm ambayo ni bcom-accountng nimeandikiwa not eligible,kila nkijarbu kuchange inakataa.nahisi kukata tamaa sana wakuu.
 
mwana we acha tu leo kitendo cha kuongeza kozi zile zote za mwanzo zikapotea so nimeanza upya matatizo niliyoyapata we acha
 
Back
Top Bottom