Wizi na ufisadi mpya UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi na ufisadi mpya UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The dirt paka, Jun 8, 2011.

 1. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana Jf husika kichwa cha habari hapo juu.
  Tumeweza kushuhudia migomo kadhaa ya wanavyuo mbalimbali hapa Tanzania kiklwemo chuo cha UDOM.
  Miezi kadhaa iliyopita palitokea mgomo kakatika college of social science wakidai kunyimwa haki yao yakwenda field katika kujifunza kwa vitendo, ilifuata college ya education iliyotingisha zaidi katika maandamano na mgomo wakidai huduma mbali mbali kama maji, then matatizo yakitaaluma kama kupigwa extreme lectures yaani course yakusoma miezi mitatu mnafundishwa siku 3, then evaluation and assesment kwakupewa test moja badala ya mbili na assignment pia seminar presentations, n.k. Kikubwa ni kupunjwa pesa za field na wengine kukosa kabisa ambapo baadae ilifahamika pesa hizo zimekombwa na jamaa wachache katika management ya udom na hazijarudishwa hadi dakika hii.
  Ndipo ulipofuatia ule wa college of informatics iliyofungwa.

  Leo hii ni semister yapili. Ni utaratibu uliopo mwanafunzi kuingia mkataba na board ya mikopo ya elimu ya juu almaarufu kama heslb pasipo kuhusija chuo kwa maana kuwa ni taasisi mbili tofauti.
  Na chuo humdahili mwanafunzi na kutoa taarifa heslb kuhusu uwepo wa mwanafunzi kila mwaka hasa kwa matokeo yake.


  UDOM Kunaupumbavu umetokea tena, heslb hutoa pesa za ada na kuzituma chuoni na list ya majina ili wanafunzi wasaini kudhihirisha wamepokea na wapo.  Kunabaadhi ya wanafunzi tangu waanze mwaka wakwanza hawajawahi kusaini katika list bali huandika majina yao katika karatasi detail zao nakupelekwa heslb.


  Wanafunzi hao walisaini tena zaidi ya mara tatu na mara ya mwisho afisa mikopo aliyeajiriwa alilet majina yao katika list japo hawakusaini wote deadline ikiwa tarehe tano/6 may 2011.


  Leo hii mtu mmoja anayejiita Dr. WAME ameandika barua heslb kuiomba ivunje mkataba wakuwalipia wanafunzi hao bila consultatio yoyote kujua mambo yalivyo.


  Principle wa college na Dean of students, afisa mikopo hawajui kinachoendelea, nakuvuja kwa siri hii ni baada ya m/kit college ya education kuibandika barua hyo kimakosa alipotumiwa kama nakala yake katika ofis ya wanafunzi udoso. Je huu si ufisadi?
  Na je sheria gani inayoruhusu mtu kusitisha mkataba wa mtu? Wakati taratibu za board hazielekezi katika form ya mkataba. Jamani wafanye nini hawa waende mahakamani kumshitaki huyu shetani( wame) ? Au!
  Maana wapo waliosaini na wamekuwa terminated.
   
 2. the havenot

  the havenot Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  are you sure withyour statement
   
 3. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nyie mkiambiwa mwende mkasaini ada hamuendi huo nui utaratibu wa bodi ya mikopo kufuta wanafunzi wote ambao hawasaini ada zikija hata mwaka jana waliomaliza walifutiwa na deni wanalo hakuna ufisadi hapo ni uzembe wa wanafunzi wenyewe hamko serious nawanafuta ukweli mwaka wa 3 karibu asilimia 70 mwaka jana udo hawakuja kwenye maafari kutokana na deni la kufutwa kwenye bodi ya mikopo,hakuna ufisadi hapo
   
 4. L

  Lyoto New Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu The Dirty,
  Hakuna jipya juu ya Uhalifu unaofanyika UDOM.. Kimsingi hata Serikali inajua kwa sehemu ila lile swala la kulindana ndiyo linatumaliza wa-Tanzania.
  Je, huwezi kujiuliza yote yaliyotekea hapo awali nani kawajibika? Unafikiri ni kwanini? Najizuia kuamini kuwa maovu haya yanahusisha watu hata nje ya UDOM lakini nalazimika.

  Jina la aliyesaini ni Dr. Ame, mmoja kati ya wasiri wakubwa wa yote yanayotokea UDOM na kwa ufupi ndiye anayeandaliwa kushika moja kati ya nafasi tatu za juu kabisa katika chuo hicho.

  Unajua kuwa baada ya hili kuanikwa gazetini jana, leo wanafunzi wameanza kupewa vyeti vyao (MA na undergraduates) ilhali wiki moja waliambiwa vipo UK (kwa MA) na suala la Ada (undergrads)?

  MUNGU atunusuru na watu hawa!
   
 5. y

  yonga JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  hao watu waliofutiwa wali bembelezwa na afisa mikopo waka sign lakini hawa kwenda ndo maana bodi chuo kika amua kurudisha majina bodi na kuwa futia udhamini kwa sababu inaonekana hawataki kulipiwa na bodi
   
Loading...