TCU mbona hakuna option ya kufanya changes ya course kwenye CAS kama mlivyosema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU mbona hakuna option ya kufanya changes ya course kwenye CAS kama mlivyosema?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by leloson, Jun 17, 2012.

 1. l

  leloson Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TCU wametutumia mesej kuwa kama una koz uliomba ukakuta hau-qualify unaweza kufanya mabadiliko. Chakushangaza hamna hiyo option ya kufanya mabadiliko au kuongeza program code, wadau kama kuna anayefaham anisaidie.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo option ipo sema hujaiona.
  nenda katika SELECTED PROGRAMS then on right side ya kila program utaona icon ya REMOVE uki Click hapo utakua umetoa hiyo program na unaweka nyingine kwa Kuweka NEW CODE on LEFT side Ya hiyo Bar ulipo remove
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  bofya kwenye remove program then itaondoka alafu ingiza code mpya and add then your good to go..
   
 4. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  zaidi ya ulivyoshauriwa hapo juu ni kuwa usisahau ku-save changes kabla hujatoka hapo. Lakini pia nakushauri kabla ya kufanya changes nakili mpangilio wa codes kufuatana na selection yako incase ukipata message ya kwamba ufanye entry upya. ni simple una log out na in na kuanza kujaza upya na kusave na utakuwa through na kusuburi eligibility. kwa uzoefu sasa hivi hawakawii utapata feedback ya marekebisho yako.

  Ukikuta programs zote ni not eligible check Profile yako kuna uwezekano system haiku capture matokeo yako ya "A" level. hapo itabidi uwasiliane nao warekebishe hali hiyo ili system i revist eligibility yako.
   
Loading...