Natafuta Shule ya Awali na Msingi: ADA ISIZIDI 4.5M | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Shule ya Awali na Msingi: ADA ISIZIDI 4.5M

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Amoeba, Jun 18, 2012.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu, mwakani nataka kumpeleka shule Jr.
  Kwa sasa natafuta shule ya awali na msingi, Morogoro, Arusha, Iringa,Mbeya, Mwanza, au Dar (spendelei sana dar)! Kama ni nje ya Tanzania iwe Kenya, South Africa au Botswana. Ubora wa elimu ni jambo la mbele kabisa. Nakaribisha maoni wakuu. Natanguliza shukrani
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  ulipanga kuzaa ili uwapelekee walimu wakulelee au wakufundishie wanao?
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa dada/kaka, unaweza kufafanua kidgo, tafadhali!
  Asante.
   
 4. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  pole sana
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Lugalo primary school or mugabe primary school pale sinza, zip poa tu wanafundisha vzr sana
   
 6. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna shule iko Temeke (DSM) Inaitwa Madenge P/S ina nursery, au Mapambano P/S iliyokoake zote Mjini Moshi au Mjimwema iliyoko Morogoro bei zote ni chini ya 4.5m bila usafiri wa kwenda shule na kurudi, shule hizi hazina boarding lakini ukiongea vizuri na wakuu wa shule wana namna.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Funguka ndugu tujenge! Asante.
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele mkuu, hizo madenge na mapambano ziko maeneo yapi? Ni nzuri zaidi kama zingekuwa boarding. pia naomba kufahamu kama zina malezi ya kidini ama la!
  Asante sana mkuu.
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, hizi ziko na Boarding?
   
 10. M

  Makoko Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu nimekutumia hiyo attachment hapo... ni shule nzuri sana, maana mimi nakaa Morogoro na nategemea kupeleka mtoto huko....
  Asante.
   

  Attached Files:

 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka document haisomeki kabisa kaka!
   
 12. M

  Makoko Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Basi muandikie huyu email...mpaka kesho atakua kashakujibu...secretary@morogorointernationalschool.com
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mpeleke st patrick arusha.
   
 14. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kama vipi St.Ritaliza Pre,Primary and Secondary School,owned by the Sisters of St. Joseph of Mombasa. Ipo Moshi- Kilimanjaro/mpakani maeneo ya Holili. Ni nzuri na nafuu.
   
 15. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Mpeleke SAVANAH PLAIN iliyoko Shiyanga,ni shule bora kwa Tanzania kwa watoto wa Mafisadi kama wewe.
   
 16. A

  ADK JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,147
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Amoeba kwani wewe ni mgeni au unataka kutuonyesha uwezo wako na uvivu wa kulea
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  Acha wivu.. huwezi jua mipango yake katika life au ni single parent .. big up mkuu amoeba invest elimu kwa watoto
   
Loading...