Post za ajira ya ualimu

serikal yetu haina mpangilio mzuri wa ajira za walimu kwani mara kwa mara wamekua wakidai kuwa wataajiri walimu lakin inashangaza hawatangazi hata ajira zenyewe
 
sijui nilie, endeleeni kungoja, sisi ngoja tuendelee kutafuta kwingine
 
Back
Top Bottom