Msaada,TOFAUTI YA 0% NA NO LOAN KWENYE MATOKEO YA BODI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada,TOFAUTI YA 0% NA NO LOAN KWENYE MATOKEO YA BODI

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kidotulotokordwak, Jun 19, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomben tofauti ya ivyo vitu viwil au ukipata 0% unapata ela ya chakula lakin fee aupew na no loan hauna vyote,anaejua anifaamishe na wengine wacofaham
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yap ni hivyo hiyo ujuavyo, in addition 0% unapata fedha za mambo mengine yote kasoro TUITION FEE na fedha za SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS. Hiyo % huangaliwa kwenye TUITION FEE na SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS kwingine kote kiwango cha fedha ni sawa. Jaribu kupitia mtandao wa HESLB kwa maelezo zaidi
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kuanzia mwaka jana ukipata 0%,hupewi chochote.
   
 4. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx,
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hebu pita HAPA Alafu usome category ya 4.8.Tuition Fee Au sijaelewa maelezo???
   
Loading...