Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
3,663
3,881
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nina swali kuhusu hii Bsc in Data Management inayotolewa pale Open University of Tanzania.

1- Competency, unaweza kutoka ukiwa competent enough kwa nature ya shule ya distance learning to be specific pale OUT?

2- Baada ya ku-graduate, chances za kupata ajira au kujiajiri ikoje, thank you.

Regards,

Da Hustla.
 
Sina uzoefu na OUT na sijui curriculum yao ila Data Science ni kozi nzuri ajira zipo. Ulimwengu umebadilika we have loads of data ila hakuna analysts.

Data scientists wanafanya kazi mahali popote pale zilipo takwimu. Kwa Tanzania, fursa za ajira serikalini sio nyingi sana inabidi ujiongeze na ufanye networking hapo utaweza kujiajiri.

Darasani utasoma statistics na programming languages kama Python na Pascal. Kama utasoma OUT, enroll for online courses za edX zitasupplement vitu vingi ambavyo sidhani kama utacover ukiwa OUT.

Ni vizuri ukasoma Data Science na specialisation nyingine mfano ukifanya Economics au Finance na Data Science unakuwa Financial Analyst. Ukifanya hivi unaongezea uelewa wa mambo na chances za kuajiriwa ama kujiajiri kama mshauri au mtafiti.

Analysts wengi field hawasomi BSc Data Science undergraduate; wengi wana degrees in different fields kama Accounting, Finance, Statistics, Econ ama Public Health. Vitu vingi unajifunza on job!

Kila la heri.
 
Nashukuru sana mkuu,

Kwani ukiacha OUT, kuna chuo kingine kinachotoa hii bachelor kwa hapa Dar tena chenye option ya evening class?

Nimesema Dar na evening class kwa maana niko busy na shughuli zingine that's why nime opt OUT
 
Sijui ila nadhani UDSM wana Masters yake. Data science ni field mpya vyuo vyetu bado havijahuisha mitaala. So, I'd say kudos kwa Prof Bisanda na team yake hapo OUT. Program yao ni perfect kwako kwa vile unafanya kazi. Enroll OUT kisha tafuta extra study resources you'll make it mkuu.

Kama nilivyosema sio lazima ufanye undergrad ya Data Science ili uwe analyst unaweza fanya BA Economics au Statistics au Computer Science. Hao edX wana courses kibao za Data science na analysis from leading industry players kama IBM na Microsoft pia wana Micromasters from good US schools.
 
Umenipa shule kubwa sana.
 
One more question mkuu, usinichoke.

Incase nikisoma hapo OUT na ku-enroll edX na nikapata GPA nzuri (OUT) japo lengo nahitaji kuwa competent sana, naweza kupata full scholarship kwa nchi kama USA kwa level ya masters?

Lengo hapa ni kwenda kupata a world class ubobezi/competence na exposure kutoka huko duniani.

NB: nina diploma ya clinical medicine (clinical officer).
 
One more question mkuu, usinichoke.

Incase nikisoma hapo OUT na ku-enroll edX na nikapata GPA nzuri (OUT) japo lengo nahitaji kuwa competent sana, naweza kupata full scholarship kwa nchi kama USA kwa level ya masters?

Lengo hapa ni kwenda kupata a world class ubobezi/competence na exposure kutoka huko duniani.

NB: nina diploma ya clinical l medicine (clinical officer).
Ndio unaweza ukapata scholarships. Nina jamaa namfahamu alipata scholarship hizi Nordic countries kufanya MSc Data Science baada ya kumaliza alipata kazi kama analyst huko in a leading firm anaishi na familia yake huko.

Kwa vile umesoma mambo ya afya jikite kwenye analytics kwenye health and allied sciences. Fursa zipo huko! Tayari una advantage kuliko peers wako wengi.

Usichoke kuuliza mkuu. Let's push each other tufanikiwe.
 
Thanks sana mkuu,

May Almighty God bless you.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nina swali kuhusu hii Bsc in Data Management inayotolewa pale Open University of Tanzania.

1- Competency, unaweza kutoka ukiwa competent enough kwa nature ya shule ya distance learning to be specific pale OUT?

2- Baada ya ku-graduate, chances za kupata ajira au kujiajiri ikoje, thank you.

Regards,

Da Hustla.
Kitacho kufanya uwe bora sio chuo, ni wewe mwenyeyew. Kwa hiyo course kama hujitumi hata ukisoma Harvard university utakua empty kichwani!!

Kozi yoyote inayo husu IT au kompyuta jua chuo kina msaada mdogo sana kwenye ubora wako.

Ubora wako utatokana na jinsi unavyo jituma na sio chuo ulichosoma.

NB: Hiyo kozi pamoja na kozi za AI/ML (kama huzijui ka google) ndio future iliko...
 
Kama unaitaji kwenda open University pako vizur kwa ushauri wangu na kwa kozi Kama yako hua wanafundisha online and distance mode pamoja na face to face so Kuna mda utaingia daraeani wapo vizur ila wanna center nyingi wew jiunge kwenye center kubwa Kama ya kinondoni pale vitabu vipo kila kitu na utasoma
 
Thanks mkuu
 
Mkuu nasoma kupitia EdX Internet of Things(IoT) hivi ni kweli ukiwalipa certificate wanakupatia?
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nina swali kuhusu hii Bsc in Data Management inayotolewa pale Open University of Tanzania.

1- Competency, unaweza kutoka ukiwa competent enough kwa nature ya shule ya distance learning to be specific pale OUT?

2- Baada ya ku-graduate, chances za kupata ajira au kujiajiri ikoje, thank you.

Regards,

Da Hustla.
SIjui kuhusu ajira zake, ila nachojua ni kuwa kuhusu competency hiyo haiwi determined na chuo bali juhudi zako mwenyewe, so usiangalie jina la chuo ktk kupata competency, bali angalia commitment yako mwenyewe!!!
 
Asante mkuu,

All the best kwenye masomo yako. Nikipata wasaa, nitakupa recommendations za vitabu vya kusoma, tutorial na links za seminars na workshops.

Blessings your way
Admission requirements zikoje kwa fani hiii
mkuu...
Na muda wa khitimu kozi hii ni ?
 
Kitacho kufanya uwe bora sio chuo, ni wewe mwenyeyew. Kwa hiyo course kama hujitumi hata ukisoma Harvard university utakua empty kichwani!!

Kozi yoyote inayo husu IT au kompyuta jua chuo kina msaada mdogo sana kwenye ubora wako.

Ubora wako utatokana na jinsi unavyo jituma na sio chuo ulichosoma.

NB: Hiyo kozi pamoja na kozi za AI/ML (kama huzijui ka google) ndio future iliko...
Mkuu hzi course kama Ai zinatolewa hapo OpenUT? Hii ya Data science/management inachukuwa muda gani kuhitimu?
 
Mmh!
Naona hizi bachelor zimekuwa nyingi kuliko kawaida.
Hivi bado watu hapa Tz wanawaza kusoma bachelor ili kuja kuajiriwa?

Kwa kweli ni bahati nasibu sana kutoboa.
Few courses (kama afya) bado kidogo kuna nafasi ya kuajiriwa, lakini fani nyingi mambo yamebadilika sana.
 
Back
Top Bottom