KERO UDOM – Department ya Foreign Languages inaharibu Future za Wanafunzi!

  • Thread starter Thread starter Anonymous (c258)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana.

Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo limekuwa kama “filter” ya kuangusha watu. Wengi wanakwama hapo, hakuna msaada, hakuna majibu.

Mimi ni mhanga. Nimeandika karibu barua 10 kwa miaka 2—hakuna hata moja iliyojibiwa. Mwisho? Nimekata tamaa kwa sababu ya somo moja tu.

Ukimfuata Mkuu wa Department, hupati msaada—anakaa kujisifia elimu yake na nyadhifa zake, na anaenda mbali mpaka kukuambia hata ukiandika barua unaweza kuishia kudisco tu.

Inauma kuona ndoto ya mtu inaishia kwenye somo moja wakati system imekataa kusaidia.
 
Mkuu hebu eleza vizuri tuelewe. Ilikuwaje hadi ukadisco? Ulikuwa mtoro au ulionewa? Fafanua zaidi.
 
Ukimfuata Mkuu wa Department, hupati msaada—anakaa kujisifia elimu yake na nyadhifa zake, na anaenda mbali mpaka kukuambia hata ukiandika barua unaweza kuishia kudisco tu.
Wafrika bado Sana, we are still 1947 era
 
Back
Top Bottom