kwa anaefaham kama majina ya walio chaguliwa kujiunga na certf na dipl course ya computer science mana deadline ya kureceiv applcation form ilikuwa 20th,July mwenye taarifa anijuze.
Wakuu, kuna wanafunzi 10 waliomaliza mwaka wa 5 fani ya medicine (udaktari), wamekuwa discontinued kutokana na tangazo la dean school of Medicine Prof. Karim Manji, source ya kudiscontinue ni...
QUESTIONNAIRE
Dear Participants
I am conducting a survey of imported products in the Tanzanian markets for my Masters thesis at Zhejiang University in China. The questionnaire is a part of my...
Jamani naombeni msaada juu ya hili cjui mi ndo ugeni wangu au la?naona thread moja inasema 'waliopata mkopo 2012/2013 bofya hapa' hiyo post ukiifungua inakwambia auko supported,,,JE VIPI NI...
siku ya leo nataka kuvunja mzizi wa fitina maana humu ndani yametokea mabishano na mada kuhusu
1.baadhi ya watu kusifia vyuo vyao.....
2.baadhi ya watu kuponda baadhi ya vyuo
kusema kweli chuo...
Wale ambao hawajaomba mkopo kama mimi mpo mi kwenye akauti yangu nshaekewa mil 2 ya kuanzia sio lazima wote tutegemee mkopo watanzania fanyeni kazi kwa bidii kutegemea mkopo kunalemaza!
Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012....
Jaman vipi sisi watoto wa...
wapi kuna elimu bora hasa kwa ngazi ya secondary na vyuo? Hii nimeuliza baada ya kuona wenzetu elifu ya secondary ni miaka 4 wakati sisi ni 6 shahada ya kwanza wenzetu ni miaka 4 mpaka 6 wakati...
Sikuwemo kwenye list ya tcu ya waliojaziwa kozi ambazo hawakuomba.
Sikufuatilia kwasababu nlijua inawahusu waliowekewa vyou ambavyo hawakuomba, kwamaana mi nlichaguliwa SUA ambapo nliomba baadh...
Wakubwa wana JF Hizo kozi hapo juu zinaisumbua sana akili Yangu.!! Sasa ndugu zangu ningependa kujua kozi ipi? Kati ya hizo hapo juu ni nzuri kuliko nyingine na iko na future nzuri uko mbeleni na...
University Decision 'Could Harm UK'
Britain's reputation as home to one of the world's thriving higher education sectors is under threat after a university was stripped of its right to admit...
taarifa Kutoka HESLB ha ha ha ha kama Una Div
3 na wewe ni Arts Sahau kitu kinachoitwa
Mkopo.....jipange Kuanzia Leo
wale wenye div 1 & 2 hakuna atakayepewa zaidi
ya 50 % jipangeeeee ha ha ha...
Baada selection ya hiki
chuo kutoka wakatoa Maelekezo
kwamba join instructions zitapatikana kwenye website
yao lakini mpaka sasa hatujaweza
pata kuziona.
Wana jamvi msaada kwenu
kwa mwenye...
kwa wale wote mliochaguliwa engineering sua,...mnatakiwa mkifika mzingatie sana kusoma kwani matokeo ya semista ya 2, yametoka watu wamedisco balaaa....madogo mje kusoma .....prof. mpanduji...
Kwa wale ambao walikua na matatizo ya kuto atach picha ya mdhamini ambao majina yao yali be desplayed kwenye website ya bodi, ambao waliambiwa wazitume kwa njia ya ems na wakafanya hivyo, majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.