Hapa ingekuwa watoto wanasubiri chakula wangelala kabla akijaweka mezani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa ingekuwa watoto wanasubiri chakula wangelala kabla akijaweka mezani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by p_prezdaa, Sep 15, 2012.

 1. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani haya mambo tunweza kushabikia kinafiki tuu lakini kiukweli sio haki na usawa wala utendaji kazi unatakiwa me sijaona sababu za msingi kwa hawa jamaa wa bodi ya mikopo kutokutoa majina ya successful and unsuccessful applicants hadi mda huu maana duu kamaweliweza kutoa majina ya waliokosea kujaza form zao kwanini washindwe kutoa hayoa wanayoyaita means tests jamani au ndio aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, je wanakifunza nini hiki kizazi wanachokiita taifa la kesho je na wao waige utendaji kazi wa namna hii au nao wawe na uchelewashaji wa mambo pasipo sababu maana mmnh,huu ni wangu mtazamo jamani.
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,880
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Dah hata wazazi wametahamaki nao wamejaa mawazo matupu @p_prezdaa
   
 3. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  YAANI NATAMANI INGEKUWA UARABUNI INGEKUWA SWAFI THANAAA @Ipycalypse
   
 4. G

  GENERARY Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yawezekana wamebanwa bado wanatafuta nafasi ya kuchakachua
   
 5. A

  Apex JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mm kweli nimekata tamaa,bora kwenye web wangekua wanatoa matumaini maybe 2ngevumilia kwa kujipa moyo lkn hakuna chochote yaan 2nagive up,najua mko jf jaribuni kusikia kilio cha wanafunz/wazazi.
   
Loading...