Nisaidien hapa..Naweza kufanya kazi gani baada ya kusoma degree in information systems? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidien hapa..Naweza kufanya kazi gani baada ya kusoma degree in information systems?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by charm_chiddy, Sep 15, 2012.

 1. c

  charm_chiddy Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Subiri hapo hapo wajuaji wanakuja sasa hivi..!!
   
Loading...