Msaada wa kupata nafasi duce/udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kupata nafasi duce/udsm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiokote3, Sep 14, 2012.

 1. k

  kiokote3 Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji kubadili chuo nipate DUCE/UDSM, mwenye uelewa wa wapi nianzi au niende ofisi gani ktk vyuo hivyo naomba aniambie. Asante
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hakuna uwezekano huo kwa sasa. Zilikuwepo nafasi za wale wa Private lakini deadline imeshapita. Kiufpi komaa tu huko ulikopangiwa au ahirisha ili uombe DUCE/UDSM mwakani ila lazima uwe na at least C na D kwa masomo mawili
   
 3. k

  kiokote3 Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante ndugu kwa kunijuza, itabidi nikomae 2 hukuhuku
   
 4. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama kungekuwa na chance ungeenda chuoni then uandike barua ya kuomba nafasi, wangekupa barua ya kuwa wana-nafasi then uipeleke tcu kwa ajiri ya transfer.
   
 5. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hapo kaka we komaa hukohuko walikokupangia maana tcu wanabana sana transfers coz kama ukupenda ulikopangiwa why uliomba kwenye selection za vyuo ulivyoomba
   
Loading...