Kwa wale wa udsm, kufanya maandamano marufuku!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wa udsm, kufanya maandamano marufuku!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arnold Ndosi, Sep 14, 2012.

 1. A

  Arnold Ndosi Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama Wanadodoso Wnzangu Wa Jf Nimedodosa Kuhusu Swala La Maandamano Na Migomo Udsm Na Wahtmu Fulani Wakaniambia


  "maandamano Na Migomo Udsm Imezmishwa Na Utawala Toka Miezi Ya Mwanzon mwa Mwaka Huu Pale Ambapo Kuliibuka Vjana Machachari Sana Walio Leta Gumzo na kuchochea vurugu na maandamano yaliolenga Kudai Nyongeza Ya Posho Kufikia Elfu 10 Kwa Kutwa,Mfn.ALSHA BAB &ALSHA AUNT.kimsing chuo kiliwapa adhabu kali iliyo wakata kilimilimi wana udsm kwa 7bu waliwafukuza chuo wao wote na wafuasi wao Huku Wakiwa Hawaruhusiwi Kujiunga Tena Na Chuo Chochote Nchn Na Wengene Wakalala Rumande Kwa Siku Kadhaa".Eti,wanatushauri sisi tunaojiunga na udsm mwaka huu 2sijipendekeze kuendesha maandamano au kijipitsha kimbelembele hasa pale 'level square'.Lakini mzngatie kwamba sikuulizia kwa malengo yeyote Mabaya Bali Ni Stori Za Hapa Na Pale Zilileta Mada Hyo Na Hvyo Nikaanza Kuwadodosa Kiundani.mnasemaje Mazee? Eti,kufukuzwa Kwao Chuo Kutafanya Wa2 Wngne Washndwe Kudai Maslah Yao?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Na hvi nilivo na hamu na maandamano,sidhan kama wataniacha asee!
   
 3. m

  mob JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  andamana ukiwa na jambo muhimu na pia ukidai haki si kuandamana kwa ajili ya kufuata mkumbo
   
 4. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  acheni utoto hata ukipewa laki kwa siku si utarudisha tu then prospectus hairuhusu maandamano mtatimuliwa na mob yenu isambae fanya kilichokuleta chuo kama unajiona unajua kutetea haki sana kuna vyama vingi vya siasa ingia humo nina experience na iyo kitu ndio maana nawaeleza kama huamini kuna kujuta jaribu tu utajionea mwenyewe na hakuna atakae kuwa upande wako ndugu yangu
   
 5. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitagoma kwajambo muhm lkn kwa vi2 visivyo namsing sitogoma kamwe.je unataka 10000 ili ununue nin?labda 2tadai hyo pesa endapo vyakula na malaz yakipanda bei.
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,313
  Likes Received: 13,020
  Trophy Points: 280
  heheheheh haya bana ffu watakula na nyie
   
Loading...