Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mwaka 2009/2010 nilipokuwa first year tulimkuta Mr Kiswaga (ccm) akiwa raisi wa DARUSO ingawa inasemekana alipitishwa na watawala kimizengwe. nilishtuka sana kuambiwa kuwa umma wa wanaudsm...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu udom, cha kushangaza anapewa mkopo toka bodi lakin mpaka sasa anadai wamepewa baadhi! Huu ni unyanyasaji na usumbufu kwa wazazi, why udom si bure kuna tatizo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye taarifa ya star tv wamemuonesha mwalimu mmoja wa shule ya msingi ambaye anafanya kazi hiyo baada ya masaa ya kazi. Nimesahau jina na halmashauri yake. Imeniumiza sana kwa kweli, tena...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tufanye nini kumaliza janga hili...Mkopo kwa elimu ya juu unakwisha kabla ya semista kufika katikati??? Mwenye mbinu bunifu? Nini zaidi kifanyike kumaliza janga hili?? Wenye mkopo tu ndo wajibu...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Chanzo cha habari hii ni redio mlimani jijini Dar es salaam. Mkuu wa shule bagamoyo alimdangaya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa pwani. Tatizo ni mgogoro wa kiimani baina ya wanafunzi wakiislam na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kile na kutoamini ulilolitoa kwenye vyombo vya habari, umeshindwa kutumia busara Mgogoro katika sekondari ya Bagamoyo si kama ulivyoambiwa na kuchukua hatua kutangaza nilichosikia kupitia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Maajabu ya chumvi (kutoka http://maajabuyamaji.net) Stori kuhusu chumvi: Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
discus the mutual relationship btn education and development#
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Leo hii raisi mstaafu,Benjamini Mkapa,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi ktk mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha st. Johns hapa Dodoma maeneo ya Kikuyu.Maandaliza yanakwenda vizuri na sherehe inatarajiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wahitimu vyuo vikuu tz mnalielewaje neno ujasiriamali au ajira?
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Wapendwa, nimeisoma hii naona nishare na wenzangu ambao bado wanasoma Chuo hiki. Yaani kwa PhD to have 42 graduates kwa wakati mmoja hata mimi nashangaa. Kumbuka kwamba chuo hiki hata hapa kwetu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Relationship between ENVIRONMENTAL AND ENVIRONMENTAL ECONOMICS....... Msaada pleaz kwa anaejua relationship ya hiyo kitu..........
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Great thinkers naombeni mnisaidie jamani. Nimlimaliza secondari mwaka jana nikapata div 4 ya 26. English - c bios - c math- f kisw- d [phys- d chem- d geog- d civ- d history - d. Shida yangu...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Kwa uchunguzi mdogo uliofanyika watoto wa maskini hufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na sita.Lakini asilimia kubwa hawaendelei na elimu ya chuo kikuu na hii imetokana na kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1) Every partner acting on behalf of the firm acts as agent for the firm and list for other partners required. a)Discuss the validity of this statement
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Nashukuru kwa ushauri toka kwa Frank Gerald. Kwa Frank Mungu akubariki na uzidi kuwa na moyo huo. Ahsante sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu niliyejiendeleza kutoka ngazi ya certificate hadi hatua ya shahada, tatizo ni kuwa nimeshinikizwa kuhamia sekondari bila hata kulipwa stahili zangu za uhamisho na kwa upande wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jaman wadau hiv mkopo kwa watu wanaochukuwa Masters vp unatolewa na HESLB?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Discuss the rules of insanity and clearly explain any exception under the rule. In your answer explain whether If who received a divine order in his sleep to sacrifice his child of five years of...
0 Reactions
2 Replies
852 Views
naombeni msaada kwa wale wanaoijua BBAWITH EDUCATION ya pale st john's universty pindi unapofika muda wa kuspecialize(semister ya pili mwaka wa2) ambapo kuna electives kama *human resources...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom