Ulikuwa mchezo kati ya wizara ya elimu na rc,dc bagamoyo

sobber

sobber

Member
Nov 7, 2012
17
0
Chanzo cha habari hii ni redio mlimani jijini Dar es salaam.

Mkuu wa shule bagamoyo alimdangaya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa pwani.

Tatizo ni mgogoro wa kiimani baina ya wanafunzi wakiislam na mkuu wa shule bagamoyo

leo mapema jioni, kamishna wa elimu, Wizara ya elimu, na tena waziri kawambwa amehusika

kuhalalisha uwongo uliotengenezwa na mkuu wa shule hiyo na kundi lake, dhidi ya walimu wachache, na wanafunzi wakiislam.

Ni kweli kuwa mkuu huyo aliwaita wanafunzi wakiislam Alshabab na Terrorist. Baadae akageuza na kudai wao wenyewe walijiita hivyo. Inavyoonekana sasa atawatoa sadaka walimu, na masikini atalaaniwa sana. mwl mmj kwa jina nililotajiwa na mdau wa wizara ni Tausi. Huyu haoneshi kupona.

Inashangaza sana mamlaka kuonyesha udhaifu mkubwa kushindwa kugundua tatizo, ambalo DC alionekana kulijua vizur

katika hali kama hii, huoni kwamba shida anayo mkuu huyo wa shule.

my take.

source: Redio Mlimani-DSM, TBC,
 
Konya

Konya

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
919
195
kama title haijakaa vyema ivi, nikajua ni yale mashindano yao any ukweli utajulikana tu mwisho wa siku
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
222
0
walioponda Annur, ukweli uo TBC na Mlimani
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
46,408
2,000
Yani hiyo habari walitangaza kuwa mkuu wa shule alidanganya au ni mtazamo wako??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,177
2,000
nadhani ukweli utakuja wakati wake
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,557
1,225
hawa walimu wa siku izi bwana siku hizi uwalimu umekuwa si wito tena
 
Top Bottom