Bba with education st john's university

mchafukobe

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
397
500
naombeni msaada kwa wale wanaoijua BBAWITH EDUCATION ya pale st john's universty
pindi unapofika muda wa kuspecialize(semister ya pili mwaka wa2) ambapo kuna electives kama
*human resources
*hearth services managemnt
*accounting
*finance
*accounting and finance
*marketing
*IT

je wale jamaa wa bba with education wenyewe wataspecialize kwenye hizo hizo electives au wenyewe wanayakwao?
 

mchafukobe

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
397
500
Hao ni walimu tu.
poa but mbona ukicheki courses outline yao wanaxoma mambo sawa na wale wa bba wengine sema wanachowazidi wenzao ni coz ya education

semister 1
*financial account
*business mathematics
*micro economics
*business law1
*debating skills1
*communication skills1
*computer application1
*development studies1
*principle of educationa(kwa wale wanaochukua bba with education)


year 2 semister ya 1
*econometrics
*quantitative techniques fo business1
*cost account1
*enterpreneurship
*debating skill2
*management information system1
*multimedia presentation
*curriculum development
*education guidance and counseling(bba with education)
 

proffessor

Member
Oct 18, 2012
32
70
jaman hao wa advantage over hao wanao fanya bba yenyewe huyo anaesema hao ni walimu tu ni mbululu,shenz kabisa
 

mchafukobe

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
397
500
jaman hao wa advantage over hao wanao fanya bba yenyewe huyo anaesema hao ni walimu tu ni mbululu,shenz kabisa
kwa hiyo huyu wa bba with education anaweza akawa ticha vilevile anaweza akaspecialize kwenye fani kama account,marketing,finance,human resouces. etc?
 
Top Bottom