Nini sababu ya watoto wa maskini kutoendelea na elimu ya chuo kikuu?


R

Rack Fikiri

Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
23
Points
0
R

Rack Fikiri

Member
Joined Oct 13, 2012
23 0
Kwa uchunguzi mdogo uliofanyika watoto wa maskini hufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na sita.Lakini asilimia kubwa hawaendelei na elimu ya chuo kikuu na hii imetokana na kuwa asilimia kubwa hunyimwa mkopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu mfano mtoto mmoja wa maskini ameshindwa kwenda chuo kikuu kwa sababu mwaka jana alipata chuo MZUMBE UNIVERSITY lakini hakupata mkopo akaacha mwaka huu amepata SOKOINE UNIVERSITY tena hana mkopo ko mwaka huu chuo kwake ndoto huyu ni mfano tu lakini wapo wengi kibao Swala ambalo huwa sielewi ni je hii bodi ya mikopo ni ya wenye nacho au ya kusaidia maskini? Watoto wa matajiri wakubwa, viongozi,viongozi maarufu wastafu wabunge waliopigwa chini na walomo mjengoni wanapewa mikopo hafu maskini ananyimwa wanamanisha nini au ndo kauli ya mwenye nacho ataongezewa na huyu maskini atanyanganywa na hiki kidogo alichonacho? Hatujui 2naelekea wapi nchi hii watoto wa Maskini
 
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
778
Points
195
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
778 195
Bodi ya mikopo ni janga lingine la Taifa baada ya Tanesco.
 
K

katalina

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
264
Points
0
K

katalina

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
264 0
Sina uhakika kama thread yako ina ukweli ndani yake. Hivi kweli watoto/waanafunzi waliojaa pale Mlimani kwa mfano wote ni watoto wa mafisadi? Siamini. Ninachoweza kukubaliana na wewe ni kwamba wapo wanafunzi ambao wana sifa lakini wanakosa mikopo!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,240
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,240 2,000
siku hz watoto wa matajiri wamestuka nao wanakata shule sana!! Yale mambo ya mtoto wa masikini anashindia uji na mihogo wanafaulu siku hiz hakuna!! Kufaulu xul ni nyenzo na jitihada vinahitajika....
 
R

Rack Fikiri

Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
23
Points
0
R

Rack Fikiri

Member
Joined Oct 13, 2012
23 0
Sio wote wanakosa mikopo ila watoto wa masikini wakosapo mkopo ndoto zao huzikwa 1@1 lkn tajiri akikosa huendelea na elimu kwani kulipa anaweza ila wanataka ku2mia haki za walalahoi kujifaidisha
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,543
Points
2,000
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,543 2,000
Nadhani hujafanya utafiti!
 
M

Mubhende

Member
Joined
Jul 31, 2012
Messages
40
Points
70
Age
52
M

Mubhende

Member
Joined Jul 31, 2012
40 70
Mimi nadhani tunapoilaumu Bodi ya mikopo tusiangalie watu awliokosa mikopo tu,tuangalie pia wale waliopata kwani wapo watoto wengi maskini ambao kama wasingepata mkopo wangeshindwa kusoma. Bodi wanaendeliea kujitahidi sana hasa ukilinganisha kipindi walipoanza miaka ile ya 1995/6,-2012 wamepiga hatua sana. Jamani tuangalie pia mazuri waliyoboresha, Hongera sana Bodi ya Mikopo.
 
Zeddicus

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Messages
591
Points
250
Zeddicus

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined May 5, 2012
591 250
kwa upande wangu nawapongeza sana board kwa kazi wanayoifanya ila bado nawalaumu kitu kimoja, wanaplace mkopo kwa wanafunzi ambao wanauwezo wa juu na mtoto wa maskini anakosa mwisho wa siku elim ya huyu mtoto inaishia hapo, hii inadhihirisha kauli ya aliyenacho anaongezewa na hasyekuwanacho hata kile alichonacho ananyang'anywa.
 
M

Mubhende

Member
Joined
Jul 31, 2012
Messages
40
Points
70
Age
52
M

Mubhende

Member
Joined Jul 31, 2012
40 70
Tatizo kubwa la cc watz tunashindwa kuonesha uwezo wetu wa kipato,ndo maana hawa jamaa wa bodi wanashindwa kutambua kama cc mtoto ni masikini au ni tajiri. Watoto wengi wa masikini wanashindwa kuonesha uwezo wao kiuchumi through documents wanaishia kuongea tu,pia budget inakuwa ndogo ndo maana wanabana kwenye kozi za kipaumbele kama elimu na u doctor,kiukweli jamaa wanajitahidi sana ukilinganisha na nchi zingine sema cc hatujui hayo mafanikio.
 

Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,365
Top