BARUA YA WAZI KWA KAMISHNA WA ELIMU-WIZARA YA ELIMU-Moevt

sobber

Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
17
Points
0

sobber

Member
Joined Nov 7, 2012
17 0
Katika kile na kutoamini ulilolitoa kwenye vyombo vya habari, umeshindwa kutumia busara

Mgogoro katika sekondari ya Bagamoyo si kama ulivyoambiwa na kuchukua hatua kutangaza nilichosikia

kupitia vyombo vya habari- muda mfupi kupitia kituo cha redio mlimani, kwamba uchunguzi uliomalizika

baada ya wataalamu wako kufika na kuhoji hili nalile kwa wastaafu na wadau wengine juu ya ugomvi baina

ya wanafunzi wa kiislam na m/mkuu wa shule hiyo. umedanganywa, na sikweli.

Kwa harakaharaka, mkuu wa shule na wenzake wamekudanganya, na kama hakuna udini katika hili basi

zipo maslahi binafsi na zingine zaidi ya kuona kumfanya abaki bwana bonas ndimbo ni msiba abao hutakuja

kusahau ukiwa katika naasi yako. Mh. mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya anamajawabu ya tatizo, na wewe

binafsi umejiingiza katika mgogoro amabo huujui. Hakuna mwl mwenye kosa kutokana na mgogoro huo, na

umeupanguvu mpya. Katika hatua yako utasababisha mambo haya:

1. walimu watakosa amani, kwa mfano, wametajwa, je walihusika vipi kubakwa mwl mwenzao?
2. umempa bwana ndimbo wakati mgumu sana, ukidhania umemsaidia.
3. walioshikilia nyumba(watu wa nje wanaoishi) shuleni hapo kuendelea kuwanyima haki ya kukaa shuleni walimu wahusika huku wakiishi nje ya shule, na kuwakandamiza kwamba ni watoro
4. Umemdhalilisha mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa kwa kuwa suala hilo wanalijua kwa kina, kwamba suluhu si kuendelea kukandamiza wasiohusika
5. wanafunzi wa imani nyingine kuish kwa hofu dhidi ya bwana ndimbo aliyewatishia kuwagawa baina ya wakristo na waislam
6. Ndimbo atatumia nafasi hii kuwadhalilisha, kuwasemea kwenu, walimu wenye hoja na tija
7. Kwa kuwa ndimbo anataka aendelee kushikilia uraisi wa Tahossa, hatakuwako shuleni hapo muda wote, hivyo kutegemea majungu na lazima litazuka janga la kumng'oa.
8. Bgamoyo shule ya sekondari bado si mahala salama kwa watoto.

Jiangalieni upya, chukueni tahadhari mapema
 

Forum statistics

Threads 1,389,157
Members 527,854
Posts 34,018,572
Top