Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba mamlaka husika kuchunguza malalamiko kuhusu utaratibu wa usajili kwenye mfumo wa NaPA kwa waombaji wa mikopo ya elimu ya juu katika Wilaya ya Sengerema, Mwanza. Kuna malalamiko kwamba...
0 Reactions
5 Replies
190 Views
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6 SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi...
9 Reactions
124 Replies
10K Views
Kuna makosa ambayo mwanafunzi akiyafanya shuleni, adhabu yake haishughulikiwi na mwalimu mmoja tu. Unakuta umeitwa mbele ya walimu kadhaa, kila mmoja anauliza alichofanya, na mwisho unaondoka na...
2 Reactions
19 Replies
175 Views
Anonymous
Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa...
5 Reactions
3 Replies
141 Views
Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza) Kozi zenye...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Vijana wanamaliza form six lakini unapima uwezo wao wa kujua mambo ni wa chini na hovyo kabisa. Kuna mwalimu mwenzangu aliniambia vijana wanamaliza form six hawajui hata mstari wa pambizo...
7 Reactions
78 Replies
660 Views
Ni vigezo gani zaidi vinazingatiwa mtu kupata mkopo wa chuo kikuu kutoka HESBL? Kuna wengine wanapata wengine wanakosa. Je, aliyekosa mwaka jana anaweza kupewa kipaumbele mwaka huu? Pia soma...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
habari wanaJf!! Kumekuwa na mkanganyiko sana wa hawa watu wa maabara kati ya wanao fanya kazi ya Medical/ Industrial/Research/School Laboratory au wanafunzi wanao somea fani ya maabara kati ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar za kutwa humu, Naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habar hapo juu,naomba kujua hiyo kozi inahusika zaid na masuala gani na soko lake la ajira limekaaje, ni kozi inayotolewa pale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nina umri wa miaka 26, nimehitimu Kidato cha Nne Mwaka 2016 na matokea nina C flat 5 na D ya History na Chemistry na F ya Fizikia na Hesabu ndoto yangu ni kuwa na bachelor ya IT nifanyaje wakuu?
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu ! Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step. GS - S Physics - D Chemistry- C Bio - C Bam - C Anapenda mambo ya afya sana, sasa...
2 Reactions
18 Replies
463 Views
Mtu anaanza kusoma tu electronics anakutana na multistage amplifier. Kabla ya multistage kuna vitu vya msingi sana ambavyo mwanafunzi anabidi avielewe na hawa wanafunzi wa form six sasa hivi...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Anonymous
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Nitangulize Salamu, habarini wakuu Kwa mara nyingine nakuja na hii. Mimi ni muhitmu wa kidato cha 6(sina elimu zaidi ya hapo) ambae nina uzoefu mkubwa katika kufundisha somo la hesabu (O & A...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Anonymous
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Anonymous
Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Mimi ni mdau mwenye mtoto anayesoma katika Kitengo cha Elimu Maalum katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, nimeamua kujitokeza na kuzungumza kwa uchungu mkubwa kwa sababu kinachoendelea shuleni...
0 Reactions
6 Replies
263 Views
Back
Top Bottom