Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ifm
NA Ifm ln jaman loan????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0786211333 msg zote zitajibiwa,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa jukwaa hili poleni,ndugu walimu hebu nijuzenu topics za Geography form Four ni zipi? Na History ni zipi?Naomba mwenye syllabus za masomo hayo aniorodheshee Tafadhari. Mungu awabariki.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wana jf kuna kituko nimekutana nacho leo hii ingefaa mnijuze kama na nyie mnakutana nacho na pia tushauriane kuhusu dawa ya jambo husika. Ishu ni kuwa mwanangu anasoma darasa la pili shule binafsi...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Ndg wana jf niko hapa kujaribu kuwashauri kama mna ndg wanaotarajia kuingia chuo wasijaribu wala kuthubutu kujaribu ku apply Chuo Kikuu Cha Iringa zamani TUMAINI,sababu ni chuo kilichoweka PESAa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Welcome to the Cyberoam Web Client Portal! Cyberoam Captive Portal Username Password Click here for User My Account...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninapenda sana kujifunza mambo ya Muziki hivyo naomba msaada wa kupata Vitabu na material ya muziki hasa ya kiswahili kwani ya kiingereza ninayo mengi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimejaribu kujaza upya form ya kukata rufaa maombi ya mkopo-HESLB,ajabu personal information zinakuja lakini sipati 'option' ya kuniruhusu kujaza maelezo mengine kama ilivyoelekezwa ktk tangazo la...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
TAHLISO sasa imepata mtu mchapakazi.kijana huyu ambae ni rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu Bugando CUHASSO. Ameonesha uwezo mzuri wa kuongoza na kutetea maslahi ya wanafunzi muda mfupi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakat nasoma chuo kikuu kimojawapo hapa nchini niligundua kuwa wengi wa wahitimu hupata GPA kali (za madesa) bila kuwa na utalaam wa kiwango husika kivitendo kama ambavyo wengi wao wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mimi mwalimu ndo nimetoka chuo nasubiri ajira ila kitaa kumechosha mbaya. Mwenye tetesi juu ya lini ajira zitatangazwa na wizara ya elimu jamani anijuze.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Bei Nzuri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima Zenu enyi wadau wa elimu na JF kwa ujumla. Naomba contacts (simu/email) za shule zifuatazo; 1. Kizuka Secondary School-Morogoro. 2. Olaleni Secondary School-Kilimanjaro. 3. Cagliero...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
wajumbe salamu kwenu. nina mdogo wangu ambae ameitimu elimu ya A.level nchini Uganda mwaka huu.sasa mimi kama kaka yake ninapenda apate elimu yake ya juu nchini. sasa ninaomba msaada kwa...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Karibun saana SUA tunasoma bila matatizo.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ningependa kufahamu ikiwa nitaweza kuyapata matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2005.Naombeni msaada jinsi ya kuyapata
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Wadau kwanza za saa hizi natumai niwazima.NINAMASHAKA KIDOGO KWA UPANDE WANGU KUHUSU CHUO nachosomea mambo ya INFORMATION TECHNOLOGY AND ENGEENERING _naombeni mnisaidie JINSI gani naweza kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni karibia wiki y pili sasa ipite tangu tulipopashwa kupewa hilo boom .Ofisi ya loan board hapa chuo eti wametumiwa majina lkn bank pesa bado.Vyuo jirani tulivyotangulia kufungua semister wamepata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau wa jf, naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya it ngazi ya cheti na stashahada. Nitafurahi mkinitajia vyuo vilivyo kanda ya ziwa na gharama za hizo couse kama hamtojali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau anayefahamu link yenye hii kitu. Iwe africa au nje ya africa.my dream ni kusoma hii kitu. Let me know wadau
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom