Kwa anayejua vyema njia ya haraka ya kujaza form ya ku appeal LOAN BOARD

Ang'ino

Member
Jun 9, 2013
42
0
Nimejaribu kujaza upya form ya kukata rufaa maombi ya mkopo-HESLB,ajabu personal information zinakuja lakini sipati 'option' ya kuniruhusu kujaza maelezo mengine kama ilivyoelekezwa ktk tangazo la Bodi.
Kwa yeyote mwenye uzoefu tafadhali msaada wa haraka
 

Ang'ino

Member
Jun 9, 2013
42
0
Nisubiri vp mwaka ujao wakati maombi yanaendelea kupokelewa na mwisho ni 31/12/2013 ? Kojoa ulale kama huna msaada
 

SESEKO

Member
Aug 4, 2013
88
70
Poleni sana wadogo zangu wote msumbuliwao na mizigoya kujaza appealing form,naomba mnitafute tuone kama ntaweza kuwatua mizigo hyo kwani namie nilipitia huko na nimeshatatua.0758 536373
 

Ang'ino

Member
Jun 9, 2013
42
0
Ahsante,wote mlioweka mawasiliano yenu,nimehangaika kiasi cha kutosha,leo nimeenda kutafuta msaada kwa Loan Officer wa chuoni kwangu lakini hakuwa na nafasi,awali nilifikiri kwa vile ilikuwa weekend,lakini nimegundua tatizo ni zaidi ya Weekend,ni usiku sasa kwa kudra za Maulana kesho nitakutafuteni niweze kumalizana na hili zoezi,Pesa yangu (Sh.5,000/-) ya ku appeal washakula.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom