Nahitaji vitabu na material ya kujifunzia elimu ya muziki

mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,147
2,000
Ninapenda sana kujifunza mambo ya Muziki hivyo naomba msaada wa kupata Vitabu na material ya muziki hasa ya kiswahili kwani ya kiingereza ninayo mengi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom