help please

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,867
1,602
wajumbe salamu kwenu.

nina mdogo wangu ambae ameitimu elimu ya A.level nchini Uganda mwaka huu.sasa mimi kama kaka yake ninapenda apate elimu yake ya juu nchini.

sasa ninaomba msaada kwa anayefahamu mchakato mzima wakubadilisha matokeo hadi kusajiliwa TCU

shukrani..
 
Back
Top Bottom