Mapya ya elimu mulugo

salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,449
Likes
84
Points
145
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,449 84 145
Wana jf kuna kituko nimekutana nacho leo hii ingefaa mnijuze kama na nyie mnakutana nacho na pia tushauriane kuhusu dawa ya jambo husika. Ishu ni kuwa mwanangu anasoma darasa la pili shule binafsi VIBE kinyerezi na tegemeo ni kuingia darasa la tatu wakifungua; cha ajabu nimekabidhiwa ripoti ya mtoto inayosema shule ikifunguliwa atarudia darasa na kusoma hilo hilo la pili kwa kuwa hakufikisha wastani wa marks 70 walizojipangia. Imeonyeshwa nafasi yake darasani ni wa 16 na kwa maana hiyo nusu ya darasa watakuwa wanarudia kwa kuwa darasa lina wanafunzi karibia ya thelasini. Sasa hii maana yake nini ni kwamba sasa tujiandae kuona watoto wanamaliza la saba wakiwa na miaka 20 au 21 umri sawa na ule wa wale wanaokaribia kumaliza chuo kikuu. Hapo sasa na umri huo apate bahati ya kuingia sekondari na hizo rudiarudia atapoteza miaka mingine 12 hapo umri utakuwa miaka 33; sasa aende chuo aje kuingia kwenye maisha atakuwa ameshakuwa m-babu wa miaka 50. Hivi hii wizara ya elimu kazi yake nini hadi kila mjinga mwenye vijihela vya kufungua shule anaanzisha ujinga anaoujua yeye? Hivi hawa kina MULUGO na elimu zao za kuungaunga ndio wamekuwa majanga kiasi hiki? huyu mtoto wangu yuko bright na namkubali hata faili lake lina marks kuanzia 80 kwenda juu lakini sizo zilizowekwa kwenye ripoti; na hapa nyumbani anategemewa na watoto wenzake tena wa darasa la tano wa shule za serikali anawafanyia hesabu, na kuwajibia masomo mengine pia lakini yeye arudie mwaka wakati wanafunzi wake wanasonga mbele kuingia la sita. Hivi hapo darasa la saba si wanafanya mitihani ileile ya kwenda sekondari? na utaratibu wa kurudia madarasa si ni darasa la nne na form two? hii ya kurudishwa nyuma darasa lolote ili watu wavune pesa imeidhinishwa na nani? MULUGO? hebu nijuzeni wenzangu!
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
678
Likes
35
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
678 35 45
Biashara hyo akirudia si utalipa ada?,funguka tafuta tu shule nyingine,
 
J

jane simwimba

Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
15
Likes
0
Points
3
J

jane simwimba

Member
Joined Dec 11, 2012
15 0 3
Mh! Cha mcngi tafuta shule nyingine

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
K

Kamili Gado

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
387
Likes
4
Points
0
K

Kamili Gado

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
387 4 0
Pole sana kwa hilo, ila hapo uliposema mwanao wa darasa la pili anawafundisha hesabu watoto wa darasa la 5 naona umeongeza sana chumvi na kukifanya chakula kisinoge. pili hapo kwa Mulugo nadhani haujamtendea haki kwa sababu hiyo ni shule binafsi yenye utaratibu wao binafsi ili mradi hawavunji sheria za nchi.wewe mwenyewe ulimpeleka mwanao akasome hapo baada ya kukubaliana na taratibu za hapo sasa lawama kwa Mulugo zinatoka wapi? au Mulugo anakusaidia kulipa ada?, hayo ni matatizo yako binafsi usilaumu watu wasio husika.
 
Khakha

Khakha

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
2,989
Likes
383
Points
180
Khakha

Khakha

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
2,989 383 180
Wana jf kuna kituko nimekutana nacho leo hii ingefaa mnijuze kama na nyie mnakutana nacho na pia tushauriane kuhusu dawa ya jambo husika. Ishu ni kuwa mwanangu anasoma darasa la pili shule binafsi VIBE kinyerezi na tegemeo ni kuingia darasa la tatu wakifungua; cha ajabu nimekabidhiwa ripoti ya mtoto inayosema shule ikifunguliwa atarudia darasa na kusoma hilo hilo la pili kwa kuwa hakufikisha wastani wa marks 70 walizojipangia. Imeonyeshwa nafasi yake darasani ni wa 16 na kwa maana hiyo nusu ya darasa watakuwa wanarudia kwa kuwa darasa lina wanafunzi karibia ya thelasini. Sasa hii maana yake nini ni kwamba sasa tujiandae kuona watoto wanamaliza la saba wakiwa na miaka 20 au 21 umri sawa na ule wa wale wanaokaribia kumaliza chuo kikuu. Hapo sasa na umri huo apate bahati ya kuingia sekondari na hizo rudiarudia atapoteza miaka mingine 12 hapo umri utakuwa miaka 33; sasa aende chuo aje kuingia kwenye maisha atakuwa ameshakuwa m-babu wa miaka 50. Hivi hii wizara ya elimu kazi yake nini hadi kila mjinga mwenye vijihela vya kufungua shule anaanzisha ujinga anaoujua yeye? Hivi hawa kina MULUGO na elimu zao za kuungaunga ndio wamekuwa majanga kiasi hiki? huyu mtoto wangu yuko bright na namkubali hata faili lake lina marks kuanzia 80 kwenda juu lakini sizo zilizowekwa kwenye ripoti; na hapa nyumbani anategemewa na watoto wenzake tena wa darasa la tano wa shule za serikali anawafanyia hesabu, na kuwajibia masomo mengine pia lakini yeye arudie mwaka wakati wanafunzi wake wanasonga mbele kuingia la sita. Hivi hapo darasa la saba si wanafanya mitihani ileile ya kwenda sekondari? na utaratibu wa kurudia madarasa si ni darasa la nne na form two? hii ya kurudishwa nyuma darasa lolote ili watu wavune pesa imeidhinishwa na nani? MULUGO? hebu nijuzeni wenzangu!
Mkulu, hiyo shule Ina kiwango gani? Km vp mpeleke pale Tusiime TBT sanene. Sio kama nawafagilia ila mwanangu kamaliza la Saba juzi na kupiga A masomo yote. Mwanangu wa darasa la 4 nimemuhamisha naye yuko pale. Ila jiandae kwa fees maana katagira ni balaaaaaaaaaa.
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,772
Likes
76
Points
145
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,772 76 145

Hakika umevurugwa . Mara mwakani unataka mtoto aingie la tatu mara la sita. Uhakika ni upi. Mhamishie shule nyingine maana hao ni wasaka mshiko tu.
 
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,449
Likes
84
Points
145
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,449 84 145
Pole sana kwa hilo, ila hapo uliposema mwanao wa darasa la pili anawafundisha hesabu watoto wa darasa la 5 naona umeongeza sana chumvi na kukifanya chakula kisinoge. pili hapo kwa Mulugo nadhani haujamtendea haki kwa sababu hiyo ni shule binafsi yenye utaratibu wao binafsi ili mradi hawavunji sheria za nchi.wewe mwenyewe ulimpeleka mwanao akasome hapo baada ya kukubaliana na taratibu za hapo sasa lawama kwa Mulugo zinatoka wapi? au Mulugo anakusaidia kulipa ada?, hayo ni matatizo yako binafsi usilaumu watu wasio husika.
Nikiwa darasa la sita, form two wa mtaa mzima walikuwa wanaleta hesabu zao kwangu na nikiwa form three nilikuwa nafundisha hesabu form six kama mwalimu hayupo je hiyo ni chumvi pia au pilipili? eti ooh ina chumbi sana huo ni mtori? umeambiwa unywe? shida ya kwangu mimi wewe unataka irekebishwa ifanane na unavyofikiri si uandike post ya kwako? mtoto yuko ndani na guru wa hisabati halafu usitegemee makubwa? unaweza kufikiri na brag, nitembelee hapa Home episodes za ukali wangu ziko mle uwe mvumilivu na kuzisoma manake hazipo juujuu. Ishu hapa ni je ku violate age base ya wahitimu ni sahihi na imeidhinishwa na nani? shule ikiitwa ya binafsi inakuwa na mambo binafsi? kwanini zinasajiliwa? kwanini zinafanya mitihani ya taifa? huyo mulugo yuko pale wizarani kusubiri juice? mimi nimemtaja yeye makusudi kwa kuwa inaonekana wazi yeye mwenyewe ni muathirika wa hizi elimu za uani zinazoendeshwa na nyumba ndogo za wamiliki.
 
Nikiwa darasa la sita, form two wa mtaa mzima walikuwa wanaleta hesabu zao kwangu na nikiwa form three nilikuwa nafundisha hesabu form six kama mwalimu hayupo je hiyo ni chumvi pia au pilipili? eti ooh ina chumbi sana huo ni mtori? umeambiwa unywe? shida ya kwangu mimi wewe unataka irekebishwe ifanane na unavyofikiri si uandike post ya kwako? mtoto yuko ndani na guru wa hisabati halafu usitegemee makubwa? unaweza kufikiri na brag, nitembelee hapa Home episodes za ukali wangu ziko mle uwe mvumilivu na kuzisoma manake hazipo juujuu. Ishu hapa ni je ku violate age base ya wahitimu ni sahihi na imeidhinishwa na nani? shule ikiitwa ya binafsi inakuwa na mambo binafsi? kwanini zinasajiliwa? kwanini zinafanya mitihani ya taifa? huyo mulugo yuko pale wizarani kusubiri juice? mimi nimemtaja yeye makusudi kwa kuwa inaonekana wazi yeye mwenyewe ni muathirika wa hizi elimu za uani zinazoendeshwa na nyumba ndogo za wamiliki.
 
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,449
Likes
84
Points
145
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,449 84 145
Hakika umevurugwa . Mara mwakani unataka mtoto aingie la tatu mara la sita. Uhakika ni upi. Mhamishie shule nyingine maana hao ni wasaka mshiko tu.
Uhakika ni huu kwamba wanaoingia la sita mwakani ni hao wanafunzi wake wa darasa la tano; nakuona shombeshombe utakuwa hujui vizuri kiswahili ila hilo la kuvurugwa ni kweli kabisa nimevurugwa
 
Mbugi

Mbugi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,492
Likes
103
Points
160
Mbugi

Mbugi

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,492 103 160
Unaonekana kama si mtanzania vile??? kwani shule yako haiendeshwi na kamati ya shule? kama ipo usipoteze mda nenda ongea tatizo lako then chukua hatua.
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,772
Likes
76
Points
145
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,772 76 145
Nikiwa darasa la sita, form two wa mtaa mzima walikuwa wanaleta hesabu zao kwangu na nikiwa form three nilikuwa nafundisha hesabu form six kama mwalimu hayupo je hiyo ni chumvi pia au pilipili? eti ooh ina chumbi sana huo ni mtori? umeambiwa unywe? shida ya kwangu mimi wewe unataka irekebishwa ifanane na unavyofikiri si uandike post ya kwako? mtoto yuko ndani na guru wa hisabati halafu usitegemee makubwa? unaweza kufikiri na brag, nitembelee hapa Home episodes za ukali wangu ziko mle uwe mvumilivu na kuzisoma manake hazipo juujuu. Ishu hapa ni je ku violate age base ya wahitimu ni sahihi na imeidhinishwa na nani? shule ikiitwa ya binafsi inakuwa na mambo binafsi? kwanini zinasajiliwa? kwanini zinafanya mitihani ya taifa? huyo mulugo yuko pale wizarani kusubiri juice? mimi nimemtaja yeye makusudi kwa kuwa inaonekana wazi yeye mwenyewe ni muathirika wa hizi elimu za uani zinazoendeshwa na nyumba ndogo za wamiliki.
Mchagga hapo umenimaliza, sina swali
 
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,874
Likes
597
Points
280
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,874 597 280
Wana jf kuna kituko nimekutana nacho leo hii ingefaa mnijuze kama na nyie mnakutana nacho na pia tushauriane kuhusu dawa ya jambo husika. Ishu ni kuwa mwanangu anasoma darasa la pili shule binafsi VIBE kinyerezi na tegemeo ni kuingia darasa la tatu wakifungua; cha ajabu nimekabidhiwa ripoti ya mtoto inayosema shule ikifunguliwa atarudia darasa na kusoma hilo hilo la pili kwa kuwa hakufikisha wastani wa marks 70 walizojipangia. Imeonyeshwa nafasi yake darasani ni wa 16 na kwa maana hiyo nusu ya darasa watakuwa wanarudia kwa kuwa darasa lina wanafunzi karibia ya thelasini. Sasa hii maana yake nini ni kwamba sasa tujiandae kuona watoto wanamaliza la saba wakiwa na miaka 20 au 21 umri sawa na ule wa wale wanaokaribia kumaliza chuo kikuu. Hapo sasa na umri huo apate bahati ya kuingia sekondari na hizo rudiarudia atapoteza miaka mingine 12 hapo umri utakuwa miaka 33; sasa aende chuo aje kuingia kwenye maisha atakuwa ameshakuwa m-babu wa miaka 50. Hivi hii wizara ya elimu kazi yake nini hadi kila mjinga mwenye vijihela vya kufungua shule anaanzisha ujinga anaoujua yeye? Hivi hawa kina MULUGO na elimu zao za kuungaunga ndio wamekuwa majanga kiasi hiki? huyu mtoto wangu yuko bright na namkubali hata faili lake lina marks kuanzia 80 kwenda juu lakini sizo zilizowekwa kwenye ripoti; na hapa nyumbani anategemewa na watoto wenzake tena wa darasa la tano wa shule za serikali anawafanyia hesabu, na kuwajibia masomo mengine pia lakini yeye arudie mwaka wakati wanafunzi wake wanasonga mbele kuingia la sita. Hivi hapo darasa la saba si wanafanya mitihani ileile ya kwenda sekondari? na utaratibu wa kurudia madarasa si ni darasa la nne na form two? hii ya kurudishwa nyuma darasa lolote ili watu wavune pesa imeidhinishwa na nani? MULUGO? hebu nijuzeni wenzangu!
mkuu nimeshindwa kumalizia kusoma uzi wako...!

ila kwa nilipoishia tu ni kwamba, hawa watu wanafanya biashara!

so usipokuwa na macho, utaliwa kichwa!
 
M

mwakigali

Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
56
Likes
3
Points
15
M

mwakigali

Member
Joined Oct 11, 2010
56 3 15
Pole sana kwa hilo, ila hapo uliposema mwanao wa darasa la pili anawafundisha hesabu watoto wa darasa la 5 naona umeongeza sana chumvi na kukifanya chakula kisinoge. pili hapo kwa Mulugo nadhani haujamtendea haki kwa sababu hiyo ni shule binafsi yenye utaratibu wao binafsi ili mradi hawavunji sheria za nchi.wewe mwenyewe ulimpeleka mwanao akasome hapo baada ya kukubaliana na taratibu za hapo sasa lawama kwa Mulugo zinatoka wapi? au Mulugo anakusaidia kulipa ada?, hayo ni matatizo yako binafsi usilaumu watu wasio husika.
Asante kaka.
 
L

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Messages
217
Likes
3
Points
0
L

LOMP

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2013
217 3 0
that is a private institution so you have to communicate with them privately.st KAYUMBA zipo nyingi mtaani.
 
Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
629
Likes
78
Points
45
Captain22

Captain22

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
629 78 45
Mkulu, hiyo shule Ina kiwango gani? Km vp mpeleke pale Tusiime TBT sanene. Sio kama nawafagilia ila mwanangu kamaliza la Saba juzi na kupiga A masomo yote. Mwanangu wa darasa la 4 nimemuhamisha naye yuko pale. Ila jiandae kwa fees maana katagira ni balaaaaaaaaaa.
Huyo aliyepata A masomo yote national vipi inteqview pale marian, feza na st joseph nako alipata A?
 
Gurta

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
2,252
Likes
69
Points
145
Gurta

Gurta

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
2,252 69 145
Ni utaratibu wa shule hiyo -- si wa Wizara au waziri, ambao kama mzazi ulipaswa uufamu na kuuridhia wakati mwanao anajiunga na shule hiyo! Na hili si jipya, shule nyingi tu za binafsi zina wastani wao ambao mara zote huwa juu ya ule wa Wizara
 
Changalucha

Changalucha

Senior Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
196
Likes
73
Points
45
Changalucha

Changalucha

Senior Member
Joined Oct 19, 2011
196 73 45
Mulugo unamuoea bure hapa, hiyo ni shule ya kibiashara wanatafuta survival kupitia pesa zenu mnazowalipia watoto kama ada, unategemea lipi watoto wote wakifaulu na wakati huo huo udahili umeshuka kutokana na ushindani na ongezeko la utitiri wa shule zinazoanzishwa Kila kukicha? Na hii ni ulimbukeni kwa wazazi kusomesha shule za binafsi hata kama shule yenyewe haina sifa, shule itaitwa VIBE unatarajia nini? Cha msingi tafuta shule nyingine mwanao akasome!

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,449
Likes
84
Points
145
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,449 84 145
Mulugo unamuoea bure hapa, hiyo ni shule ya kibiashara wanatafuta survival kupitia pesa zenu mnazowalipia watoto kama ada, unategemea lipi watoto wote wakifaulu na wakati huo huo udahili umeshuka kutokana na ushindani na ongezeko la utitiri wa shule zinazoanzishwa Kila kukicha? Na hii ni ulimbukeni kwa wazazi kusomesha shule za binafsi hata kama shule yenyewe haina sifa, shule itaitwa VIBE unatarajia nini? Cha msingi tafuta shule nyingine mwanao akasome!

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Da wewe noma mzee unakandia mpaka baaaac
 
Forum statistics

Threads 1,250,719
Members 481,468
Posts 29,743,134