Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mwanzoni wakati ninapangwa kuja kusoma hiki chuo nilijiona mwenye thamani sana ila cha ajabu sasa hivi ninatamani kukihama chuo! Jamani .....sio wote ambao tunasoma KAMPALA kwetu ni mambo safi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
....... When silence is broken.....!!!!!!!!!!! A FAREWELL NOTE: “All the world’s a stage, and all the men and women merely players: they have theirs exits and entrances; and one man in his...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Bandugu zangu habari za weekend? Naomba msaada wenu katika hili, kuna mwanaSAUT alipata mkopo na kama ilivyo utaratibu wa sasa boom hutolewa kwa awamu,awamu ya kwanza alisign na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusoma na Kujiridhisha na utaalamu wangu kuhusu Mambo ya Kiuhasibu na Ukaguzi wa Mahesabu,Nimeamua kuanzisha AUDITING FIRM.Naomba kujuzwa ni Kifungu gani cha Sheria kinachohitaji niwe na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwa watu wadadisi wa mambo wa maendeleo ya Sayansi na Uhandisi wanasema "Nanotechnology" ndo taaluma ya juu kabisa kwa wakati huu duniani. Imeweza kubadiri sura ya tafiti za dunia ya kwanza na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF Leo kupitia vyombo vya habari ikiwemo clouds fm wamedokeza matokeo ya tume iliyoundwa na Waziri mkuu kuhusu matokeo mabaya ya kidato cha nne. Baadhi ya mapungufu yaliyobainishwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
International Organization for Standardization, The Layers Think of the seven layers as the assembly line in the computer. At each layer, certain things happen to the data that prepare it for the...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomb msaada hapa kati ya mkadiriaji gharama za ujenzi n watu wa mipango miji ni wapi wanalipwa vzuri n je vp soko la ajira n kujiari n mwsho mazingara ya kazi(uzur)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunazungumza n atm tu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta kitabu ambacho kimeandika vema historia ya Tanzania matukio mbalimbali kuanzia ikiwa Tanganyik mpaka miaka ya 1990 yeyote mwenye kujua kitabu gani kina content hiyo anijuze niende...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaforum salaam, Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers.... .SHUKRAN.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
haje mazee habar za likizo? mi mzima hila naomba tukaribishane bas kwenye hii x_mass. nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Mitiani ya michujo hii vyuoni ya nn?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa style hii kamwe elimu ya kibongo haita zalisha wasomi/wataalamu wenye uwezo kufanya kazi aliyo somea kutokana kwamba mwanafunzi anasoma module zaidi ya 11 kwa semister na katika masomo hayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hallo wana JF. Mungu akinipigania Uhai nataka nikapambane na Adui Ujinga kwa Kuongeza Elimu mwakani 2014. Infact baada ya kumaliza Kidato cha Sita 2001, utamu wa kazi ulinifanya nikashindwa kuona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hbr wana jf hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikuwah kufanya finance but namshukuru Mungu mafanikio nayaona na naona wazi hapo badae ntakuwa nani kutokana na kustik na ki2 kimoja masomo na cyo mapenz coz nalitaka joho ctak upuuz!
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari ndugu zangu, Kwanza atangulisha shukrani zang wenu, mimi n kijana niliyemaliza khidato cha 4 kibaya zaidi ni katika awamu hii ya Mulugo, shida yangu natafuta mahali pazuri nisome Kozi ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkoa gani naweza kumpeleka mtoto wangu for english course na akafanikiwa ndani ya tz hii? Naomba ushauri
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Back
Top Bottom