Msaada field ya Mechanical engineering.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,686
11,296
Wakuu msada please kwa yeyote anaefahamu sehemu ambapo naweza pata field ya Mech engineering naomba anisaidie.Sehemu ambapo ningependa nifanyie field kama itapatikana ni dar.

Asanteni.
 
Unasoma chuo gani?? Upo mwaka wa ngapi? Umeshafanya field ngapi? Wapi? .....jibu hapo tupate pa kuanzia!!
 
Kwa field ya kwanza unafanya I.Craftsman ii.Ya pili ni level ya Technician iii. Ya tatu ni Engineer level.Kama ndiyo ya kwanza ni muhimu kwenda Fabric industries,turning,weldings,bolt&nuts design and lathing zitakufaa sana.Tafuta kiwanda kilicho karibu yako.Unawezaenda Nyumbu pale
 
Back
Top Bottom