Visa na Mikasa katika Shule za Bweni

Heart Wood.

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
886
930
Nilipokuwa A-level, nilifanikiwa kusoma katika shule mbili tofauti za Bweni.

Vifuatavyo ni visa navyokumbuka

i) Kama mjuavyo, utumiaji wa simu katika shule za Bweni ni mshikemshike. Sasa mie nilichokuwa nafanya, simu yangu nilikuwa nikichana godoro pembeni na kuizamisha kwa ndani. Ikifika usiku nafanya mawasiliano kama kawa.

ii) Kwenye kucharge simu ilikuwa shughuli haswa. Vijana watundu sana aisee, walikuwa wakikata nyaya kisha utaalamu flan unafanyika na kucharge simu fresh tu.

iii) Ikifika siku ya kutembeleana kati ya Boys na Girls, ilikuwa ni siku maalamu utadhani ni safari ya kuelekea Eden

iv) Nitaendelea

iv) Ongeza kisa chako..
 
Back
Top Bottom