Kama zimo fanya hivyo ila kama ana akili kama zangu usifanye hivyoNinafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
Kwanini unataka kumlisha mtoto vitu vingi kuliko umri wake?mwache aendelee inavyotakiwa chief
Hakika maana kuna VETA ambayo vijana na wazazi wengi hawaiwazii,kijana akipata ujuzi atakula kiulaini kuliko kutegemea ajira anasugua benchKukaa darasani muda mrefu sio sahihi zama hizi.. mtoto akiwahi kumalizana na elimu ya sekondari katika umri mdogo. Anapata muda wa kujifunza skills nyingi.
Sio miaka 25 ndio anamaliza degree bila hata skills yeyote
Inawezekana ila ukipata shule nzuri... mi nlivomaliza std 7 nkaenda kusoma QT then nkapga form 3&4 mwak mmoja na nkamalizia 5&6 mwaka mmoja...Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
Inategemea kichwa chake,Ila sio vyema.Labda asisome sayansi
Kwa sababu gani mtaalam?usimtese Sana mwanao.Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
🥂Kukaa darasani muda mrefu sio sahihi zama hizi.. mtoto akiwahi kumalizana na elimu ya sekondari katika umri mdogo. Anapata muda wa kujifunza skills nyingi.
Sio miaka 25 ndio anamaliza degree bila hata skills yeyote
Oyah tusaidie madini Mkuu, mm mwenyewe nataka nikapige hii imekaaje hiyoInawezekana ila ukipata shule nzuri... mi nlivomaliza std 7 nkaenda kusoma QT then nkapga form 3&4 mwak mmoja na nkamalizia 5&6 mwaka mmoja...
Kuanzia mwaka huu 2024, QT haitakuwepo badala yake wote private candidates na wanafunzi wa shuleni watafanya mtihani sawa wa upimaji yani FTNA.Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.