EEM M
Senior Member
- May 20, 2022
- 132
- 285
Habari za muda huu wana jf. Natumai mpo salama na wenye changamoto za kiafya naamin Mungu atawaponya.
Kwanza kabisa natanguliza salamu zangu za pole kwa watanzania wote na familia ya Joshua Mollel na mwenzake kwa kupoteza icon za wapambanaji wa kweli katika taifa. Binafsi nalaani ughaidi huo.
Moja kwa moja niende kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Natafuta vijana wenye ndoto kama yangu ya kusoma Abroad 2024 tujipange na kushare idea kwa pamoja kufanikisha ndoto zetu.
Nina mpango wa kutengeneza group ambalo tutakuwa tukipeana mawazo na techniques za kupata full scholarship abroad ili mwaka 2024 na sisi tukachukue ujuzi kwa wenzetu pengine tuje kulisaidia taifa ambalo miaka 60+ ya uhuru bado tuna mgao wa umeme na maji.
Binafsi nimemaliza chuo (Degree) miaka kadhaa iliyopita, nikapiga Course ya utalii na baadae nikasoma kidogo kifaransa kwenye hizi shule za chocho huku USA (United State of Arusha).
Kwa Bongo naona bado milango ya fursa imepigwa Solex kwan fursa nyingi ni kwa kujuana unless uwe na kitu zaidi hasa kwetu sisi ambao mfumo haututambui.
Basi tukajinoe ughaibuni tuweze kuijenga Tanzania yetu na kuleta ujuzi mpya katika nchi hii ambayo waliochaguliwa wanatembelea V8 huku wapiga kura wakifuata maji mtoni kwa more than 4 km.
Nataman nipate vijana kama 20 ambao tutapeana michongo na kufanikiwa kwa Pamoja kupata scholarship abroad.
Naamini vijana wengi wana ndoto kama yangu ila tunakosa kupeana connection na kuunganisha dot tuweze kutoboa.
Tukacheki fursa Abroad 2024.
PM iko wazi.
Asalaaam!