Postgraduate Diploma in Logistics and Transport Management

mtk eng

Senior Member
Oct 18, 2021
102
233
Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.

Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu.

....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher hadi u transport officer endapo nikafanikiwa Kumaliza hiyo programme?
 
Hapana recategorization mwisho n bachelor so hyo soma tu kwa manufaa yako kutafta opportunities nje ya ualimu wako other wise anza degree nyingine upya tafakari chuku hatua #Hakielimu
 
Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.

Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu.

....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher hadi u transport officer endapo nikafanikiwa Kumaliza hiyo programme?
1. uTO hauna faida yoyoteee
2. Serikali haiajiri masters, masters ni added advantage.
3. Kama ishu ni recategorization basi lazima usome bachelor nyengine.
4. Serikali inaajiri cer, dip na bach.

#YNWA
 
Inategemea unataka Nini, ikiwa unasoma Kwa manufaa Yako binafsi sawa ila kama unasoma ili utegeme serikali ifanye kitu basi itakula kwako kuwa utakuwa umepoteza muda na hela pia. Postgraduate ni added advantage inaweza kukusaidia kufanyiwa recatergorization lakini itaanza upya kupanda madaraja. Na itaanza kama afisa daraha la pili na cheo na mshahara utakuwa wa hiyo fani mpya.
 
Back
Top Bottom