Kwa matokeo haya aende kozi gani MUHAS?

tss

Member
Aug 31, 2023
73
38
Habari,

Nina mdogo wangu amesoma advance kombi ya PCB na matokeo yapo hivi; Physics-C, Chemistry -B na Bios-B.

Je, aende Pharmacy au Radiology na kwa matokeo hayo si anaweza pata Muhimbili?
 
MD na Pharmacy hawezi kupata hapo Muhas ila kwa kozi zingine mfano Environmental Health, Medical Lab anapata bila shaka.
 
Habari,

Nina mdogo wangu amesoma advance kombi ya PCB na matokeo yapo hivi; Physics-C, Chemistry -B na Bios-B.

Je, aende Pharmacy au Radiology na kwa matokeo hayo si anaweza pata Muhimbili?
Kamaliza mwaka jana anataka aombe mwaka huu!?
One ya saba anaweza kupata ukitoa md japo siku hizi wanafaulu kweli
 
Aha ko kati ya pharmacy na radiology ipi ungeshauri mkuu
Aombe yeyote tu ila pia akumbuke kuna dental na bachelor ya nursing na asi kalili chuo kuna bugando na st. John wako vizuri na na competition yao sio kubwa kama muhas kama kiuchumi wako vizuri bugando hela ya kuongezea ni kubwa kidogo ila st John ni kidogo sana.
Na kuna lile tawi la udsm mbeya aangalie afuate ndoto zake.
Kwa one ya saba anaweza akapata coarse yeyote ya afya japo asilazimishe muhas tu
 
Cha ajabu atalazimisha muhas alafu atatemwa ataishia kusoma kozi isiyo na kichwa wala miguu
 
Oohhh nilipata the same div 1 point 7 , physics B chemistry B biology C Bam A GS B but currently nipo bachelor of veterinary medicine hapa SUA, ila kuna watu nilisoma nao walipata kama hiyo na walichaguliwa physiotherapy, nursing, medical laboratory na wengine MD kabisa huwa ni suala la bahati sana
 
Walipata Muhas au
 
Naikubali sana kozi unayosoma. Ilikuwa ndoto yangu, lakini ikaota mbawa...
 
Back
Top Bottom