lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 291
Poleni sana ndugu kwa presha mlizopata kutokana na kusumbua kwa website ya TCU kuanzia ijumaa ya tarehe 14.
Habari za uhakika kutoka TCU ni kua wameongeza mda mpk tarehe 30 mwezi huu na kuhusu kusumbua kwa website mafundi wana shughulikia, hivyo endeleeni kua watulivu ombeni Mungu awape akili ya ku apply kozi bora na m pate kozi mnazozipenda.
kwa walio mikoani na walio dar mliokua mmepanga kwenda tcu kwa tatizo hilo ahirisheni safari mambo yatakaa sawa kwenye website.
Wenu katika ujenzi wa taifa!