Shule Gani za Sekondari (private) nzuri kwa ufundishaji? (Boarding)

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Ndugu zangu mziwanda wangu ndo hivo Mungu akipenda anamaliza Darasa la saba mwezi wa 9, mitihani ya kujiunga itaanza soon kwa shule za private.

Mtoto uwezo wake mzuri toka grade 1. Siko nyumbani ila najua ninyi kaka zake baba na mama zake mwaweza jua the best schools.

Tusaidiane wazazi!
 
Kama uko Arusha kuna shule naifahamu inaitwa Renea boys( kwa wavulana) na Renea girls( kwa wasichana) hizi shule ziko vizuri sana kijana wangu anasoma hapo! Wanafuatilia na wako makini sana kwenye ufundishaji.
 
sawa na sanate sana nadhani nahitaji kwenda arusha kufuatilia
 
jamani mbona shule nzuri ni nyingi sana?
mi nadhani ungeainisha kipaumbele chako na location, au shule ya kidini(dini gani), au isiyo ya kidini, gharama(ada) , mazingira ya shule, na vitu kama hivyo.
 
kwa kweli popote Tanzania limurdi iwe mahili katika masomo ya sayansi maana kamanda ni mzuri hapo na iwe ya mchanganyiko. kama itkuwa ya kidini na viwango viko juu sawa ila mimi ni Muslim.... khusu gharama isizidi mil 3 kwa mwaka
 
Kama unataka ya dini na wewe ni muslim nenda dar kuna shule ya waturuki inaitwa shamsiye wako vizuri sana na form 2 yao ya kwanza 2013 walikuwa wa kwanza kanda ya dar na 2014 wamekuwa 1 wakifungana na st. fransis na alliance mwanza, ada ni 4.5 kila kitu kuanzia uniform, vitabu, madaftar ,godoro na mashuka unayakuta huko, matumizi ya smart boards ni kawaida sana. Kama kijana wako yuko vizuri akipiga paper yao vizur wanatoa discount au scholarship.
 
Asante saaaaan ndugu yangu ,, mimi ni muislam..... umenisaidia sana wacha niingie kwenye website niitafute sasa
 
Back
Top Bottom