BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,279
- 12,041
Wadau Wa Elimu Mkoa Husika Wamesema Kutokana Na Kiwango Cha Kufeli Kuongezeka Mwaka Jana Na Kushindwa Kufikia Malengo Ya BRN Hatua Zifuatazo Zitachukuliwa.
Kwanza Kuwahamisha Walimu Waliojaa Shule Za Mijini Na Kuwapeleka Shule Za Vijijini, pili Watatoa Semina Siku 2 Kwa Waalimu Wote, tatu Watafanya Ukaguzi Wa Mara Kwa Mara Na Watapunguza Kukaa Maofisini. Amesema Watafanya Kila Namna Ili Kuboresha Elimu Mkoani Humo.
Source Tbc Fm Tar17/8/2015 8:00 Usiku.