Kupangiwa kituo ulichofanyia field

Kupangiwa kituo ulichofanyia field

AK48

Senior Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
149
Reaction score
38
Wakuu poleni kwa majukumu.napenda kufahamishwa kama inawezekana mwalimu akafanyia field should flani Na kisha kupangiwa kituo kilekile cha kazi? Kama inawezekana ni hatua gani hufuatwa?
 
wakuu poleni kwa majukumu.napenda kufahamishwa kama inawezekana mwalimu akafanyia field should flani na kisha kupangiwa kituo kilekile cha kazi? Kama inawezekana ni hatua gani hufuatwa?

sio rahisi kihivyo,

ila labda ujaribu kuongea na mkuu wa hiyo shule kama anakuhitaji personally na kama ana-influence atakufanyia manuva baada ya ajira kutoka.
 
Back
Top Bottom