Kwa anayehitaji mwalimu wa kujitolea, napatikana

Kwa anayehitaji mwalimu wa kujitolea, napatikana

BURTON JNR

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
61
Reaction score
15
Mimi ni Degree holder.. katika masomo ya Geography/ History. Nina experience ya miaka mitano. Natafuta shule ya secondary nijitolee kwa miaka miwili. Kwa atakayenihitaji ntampa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom