Bodi ya mikopo si baba yetu wala mama yetu

Bodi ya mikopo si baba yetu wala mama yetu

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,833
Reaction score
16,660
Almost wanafunzi wote wanategemea udhamini wa bodi ili hali uwezo wa bodi sio kwa kiasi hicho, naomba wazazi wafahamu kuwa sio lazima kwa mtoto kusomeshwa na serikali hivyo wajiandae mapema.

Kwa wanafunzi mnaolia kuwa wazazi hawana uwezo, trust me uwezo na nguvu wanazo ila nia ndo hawana! Maisha ya chuo bila boom yanawezekana (mimi ni mmoja wapo ) msiwe na woga wa maisha.

Wenzenu wakilipa deni la bodi nyie mtazitia kwenye kibubu, sahau bata, be strong, chakarika, fanya kazi yeyote wakati wa likizo ayo ndo maisha!

Bodi hamnipati!
 
Chuo ninachosoma tuition fee tu m6.5, hiyo kaz gan ya likizo kupata hela hiyo. hapo bado msosi, bum likipatikana chukua tu
 
Tusidanganyane hapa km mzazi wako anazo sawa otherwise bodi itahusika tu
 
Tusidanganyane hapa km mzazi wako anazo sawa otherwise bodi itahusika tu



tuachage fikra tehemezi, vyuo vingi ada ni mil 1-2 unakuta mzazi alimsomesha mtoto private school ada mil 1.5 why aiachie bodi mzigo nakuisusia mwanawe kama bodi haimsomeshi basi naye anaacha.

wazazi wakumbuke wao ndo wana machungu na watoto. mi nashukuru mungu nimesoma serikalini mwanzo mwisho ada kama mshahara wanaonipa sahivi
 
Embu kuweni wenye upeo wa mbali kama mzazi alishndwa kimlipia mwanae gvt school ataweza hyo mil? Alaf make mkijua kuwa ni wjibu wa serikali kumsomesha kila mtanzania Ila ni ukiritimba na ufisadi ndo unautafuna nchi yetu mbna wenzetu kenya wanawasomesha watoto wako mpaka ngazi ya graduate studies
 
Alaf tukae tukijua kuwa mwaka Jan wanafunzi wengi sana waliacha chuo kutokana na kutokuwa na uwezo wa kulipa ada baada ya kukosa mkopo na wengine iliwabd wasome education ili wapate mkopo ata kama ilikuwa so malengoya mtu
 
huelewi unachoongea, huko muhimbili wapo niliowazidi advance

Ninachoelewa ni kua selection ulifanya mwenye na ulionyeshwa ada elekezi,so kama muhimbili wapo ulio wazidi kwenye io coz yako it means muhimbili haikuwa your first priority , kumbuka you are responsible for your choices there is no one to blame!
 
Back
Top Bottom