Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari, Mimi ni mhitimu wa degree mwaka huu(2015) chuo cha St Johns University of Tanzania kwa course ya bachelor of Commerce with Education na ninafundisha book-keeping pia commerce. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu hivi like tangazo LA nafasi mbalimbali Mzumbe University lilitolewa TAREHE ngapi? Naomba kujua tarehe husika ambayo like tangazo lilitolewa, Maanake pale kwenye website yao siiljaiona wakuu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Now we can process admission for Fall 2015 just find me in skype alex.john.luketa in my number +15712449300 in this number you can get me in whatsapp,Tango,viber and also in my email alex@viu.edu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo yashatoka kitivo cha sayansi na hisabati
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada! Mimi Mwalimu wa COMMERCE NA BOOK-KEEPING natafuta shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo. Nimehitimu Degree ya Ualimu (Bachelor of Commerce with Education, St Johns University of...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mwenye taarifa rasm na source of information kuhusu dead line ya tcu maana mwnzo ilikuwa 15/08 cjui waliongeza??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama Mswahili-una Akili kiasi hiki.basi tuanze Kuona Mafanikio- tumechoka kusubiri-! Lakini,Hatuwezi kuendelea kwa Kasi hiyo..Twendeni 'hatua kwa hatua'-Tutengeneze mambo ya msingi-Ulinzi na...
0 Reactions
14 Replies
18K Views
Nimekuta jamaa ambao kwa mazungumzo yao nikabaini kuwa ni graduates wa education chuo flani nchini. Katika stori zao nikasikia wanadai kuwa mwalimu wa ngazi ya Diploma anatakiwa kufundisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf habari zenu wote samahani naomba kuuliza maombi ya vyuo vikuu nchini yanaanza lini?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ni swali kwa walimu na wadau wanaojua kuhusu waliofanikiwa kubadilshiwa madaraja yao hii July 2015 mnajua mishahara inabadilishwa lini? Maafisa utumishi watu wa idara za mishahara mnaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman hayo majina ya ambao wamekosea kuomba mikopo yapo wapi?mbona hayaonekani?
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Kwa walimu waliopata ajira mpya wilaya ya hai kilimanjaro 2015 + hata wale waliopo toka muda , naomba tuwasiliane mana nami nimepangwa huko ila nimekumbwa na matatizo hivyo nazan naweza pata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naam.. nasikia tetesi kuna wahitim wa ualimu wenye degree na ordinary diploma wenye sifa kamilifu za kuajiriwa wameachwa kuajiriwa..kama wapo napenda kushare nao neno hapa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadauu mwenye namba ya mkurugenzi halmashauri ya hai-kilimanjaro naomba anisaidie...!
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wiki ijayo drs. la 7 watafanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi nchini kote,ila hadi leo wasimamizi wa mitihani hiyo hawajafahamika ili hata waende semina ya usimamizi,hasa baadhi ya mikoa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HABARINI WANATAALUMA: Leo tuzungumzie lugha ya kingreza ktk kufundishia darasan HUSUSAN SHULE ZA SEKONDARI, sote tukitambua ya kwamba imekuwa ni changamoto kubwa kwa wanafunzi na walimu ktk...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
kwa wale wanao jua maana ya majina naombeni maana ya jina {DENNIS} majibu tafadhali cyo matuc..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Following closure of the loan application cycle for 2015/2016 Academic Year, the Higher Education Students' Loans Board (HESLB) has embarked on verification and analysis of the applications. In...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwa nini aliyesoma EGM au ECA hana ruhusa kusoma masuala ya Engineering kwa ngazi ya shahada kwa kigezo cha Mathematics, wakati wa PCM anaweza kusoma kozi za biashara kwa kigezo cha Mathematics...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Naombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu. Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo. Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom