Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi niliomba kazi serikalini na usaili ulianza tangu tar 26 august na utaishia tar 16 mwez huu. tatizo langu ni kwamba nimeshindwa kabisa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili. Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
naombeni msaada juu ya post za vyuo vya afya kama zimeshatoka au bado, na je? nawezaje kujua password niliyoisahau katika profile tulizofungua wakati wa kuapply katika vyuo hivyo
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Jamani hivi ni sababu zipi zinazopelekea nacte kuongeza application deadline kila siku mfano katika education, inamaanisha watu waliofanya application ni wachache kwahiyo hawatoshi vyuoni au...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam wanajf Najua kunawatu wengi walipangiwa programme na TCU ambazo hawakuzipenda,Ama walichagua programme priority kwa mategemeo ya kupata Mkopo ili wakifika chuoni kubadili programme...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello current am pursuing MSc. Food technology in netherland, i am looking place in Tanzania to do my internship of not longer than 6 months. I am interested to work on food microbiology aspects...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale waliomaliza form iv dodoma nuru secondary mwaka 2002 tukutane hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF mimi ni kijana ninayesomea degree of computer engineering niko likizo ndefu ya miezi miwili,nina uwezo wa kufundisha masomo yoyote yanayohusiana na ICT kwa level ya certificate au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wa Jf! Nahitaji kuwa consultant mzuri sana, professional hususan katika mambo ya biashara za huduma za afya. Ni chuo autaasisi gani naweza kusomea kozi ya muda mfupi na kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajf polen kwa kazi, naomba kusaidiwa kuhusu VETA hivi ukisoma kozi ya carpentary&joinery au masorn and bricking ukimaliza level 3 je unaweza kwenda kusoma DIT civil engineering au MIST Mbeya...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu wa Jf! Nahitaji kuwa consultant mzuri sana, professional hususan katika mambo ya biashara za huduma za afya. Ni chuo au taasisi gani naweza kusomea kozi ya muda mfupi na kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ebanaee.... Kwa wale tunaongia mwaka wa pili diploma maalumu udom issue ya direct itakuwa kama mwaka jana au itakuwajee? maana mwaka jana walitukata kwenyee boom. Kwahiyo mwenye taarifa na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi heshima kwenu. Nia ya kuanzisha thread yangu ni kutaka kujua zilipo ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi. Ninalo tatizo nyeti ambalo utatuzi wake ni kupata ufafanuzi kutoka kwao...
0 Reactions
33 Replies
14K Views
Tunahitaji kwa haraka mwalimu wa Journalism.SIFA ZA MWOMBAJI: Awe na Degree au Diploma ya uandishi wa habari.Chuo kipo Kibaha.Easiliana na Mkuu wa Chhuo simu namba:0719318278 au 0756220978
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo vipi wapiga kura wenzangu,,,MWALIMU LEONARD MUSA NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI, NIPO WILAYA YA ITILIMA MKOA WA SIMIYU.NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari natafuta mwalimu ili tubadirishane vituo vya kazi yeye aje rufiji mkoa wa pwani na mm niende sengerema, misungwi,geita au ilemela mwanza tumia namba hii 0716230503
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu waingize ruzuku February hawajatoa mgawo wa ruzuku hadi leo hii.Naiuliza serikali ya CCM shule zitajiendeshaje bila ruzuku?Kwa nini mnawapa kichwa kuuma walimu wakuu?Hamstaili kuongoza tena...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau samahani hapa Tanzania ni Chuo gani kinatoa PGDIT na kwa mda gani na huwa entry qualification ni zipi? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar wanaJF kuna ndgu yangu kapata mtu wa kubadilshana vtuo vya kazi(wote ni walmu)..washaanza mchakato wa kuandka barua mwez huu(Sept) jamaa kaanza kuzptsha kwa mwl mkuu asa iv zpo kwa afsa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAdau NAOMBA KUJUZWA, JE HII KOZI MPYA ILIYOONGEZWA NA NACTE( Cert. in community health) UKISOMA UNAKUWA KAMA NANI?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Back
Top Bottom