Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
2,273
Reaction score
1,709
HABARINI WANATAALUMA:
Leo tuzungumzie lugha ya kingreza ktk kufundishia darasan HUSUSAN SHULE ZA SEKONDARI, sote tukitambua ya kwamba imekuwa ni changamoto kubwa kwa wanafunzi na walimu ktk kuitumia kwa USAHIH\UFASAHA na kwa UKAMILIFU mkubwa.

Maswali:
tunapoitumia kama lugha ya kufundishia kwa masomo yote {ispokuwa somo la kiswahili na masomo ya lugha nyingnezo}

A.je;lengo kubwa waielewe lugha hii ya kiingreza kwa UFASAHA na kuweza kuizungumza kwa UFANISI zaidi?

B.Je;lengo ni kuelewa maudhui\maada {content\topic} ya somo husika kwa UKAMILIFU na kwa UFANISI zaidi?

C.Au lengo ni kuwafanya wakalili na kuijua misamiati mingi zaidi ya kingreza ambayo wataitumia ktk kujibu maswali yanayotungwa kwa kiingreza kwa masomo husika?
========================
=
hebu tujaribu kufuatilia kwa kina na mjadala huu;
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/805104-ipi-lugha-sahihi-ya-kujifunzia.html#post11944967

karibuni:
 
Kiswahili kina mapungufu, waambie wasomi watafsili topic ya classfication f2, wakiweza tuitumie, pia ktk hesabu neno log linamaana gani
 
swali la msingi, tunaitumia lugha ya kiingreza ktk kufundishia darasan kwa lengo la wanafunzi kuijua vizuri, au kuelewa vizuri kile wanachofundishwa?
 
Ni kwamba tunajitahidi kuwafundisha wnafunzi lugha ya kiingereza na sio kuwapa maarifa ya mada husika
Na ndio maana hata wale ambao husoma shule za mitaala ya kiingereza huwa waijua vizuri lugha lakini ukija kwenye suala la maarifa ni watupu
 
swali la msingi, tunaitumia lugha ya kiingreza ktk kufundishia darasan kwa lengo la wanafunzi kuijua vizuri, au kuelewa vizuri kile wanachofundishwa?

Ukweli ni kwamba tunataka waielewe vizuri lugha na sio mada, ndo maana kuna baadhi husema ni lazima watu waijue lugha ya kiingereza ili kukabili soko la kimataifa,ndo maana hata tukienda elimu ya juu huwa tuko makini kukariri misamiati mingi ya kiingereza ili ionekane tunaimudu lugha tayari kukabili soko la nje la ajira ilihali hatuna ubunifu,tunasahau kwamba Wachina hawajui lugha nyingine zaidi ya lugha yao na wanamudu soko la nje vizuri,isipokuwa aamue kujifunza lugha nyingine kwa matumizi ya mawasiliano
 
HABARINI WANATAALUMA:
Leo tuzungumzie lugha ya kingreza ktk kufundishia darasan HUSUSAN SHULE ZA SEKONDARI, sote tukitambua ya kwamba imekuwa ni changamoto kubwa kwa wanafunzi na walimu ktk kuitumia kwa USAHIH\UFASAHA na kwa UKAMILIFU mkubwa.

Maswali:
tunapoitumia kama lugha ya kufundishia kwa masomo yote {ispokuwa somo la kiswahili na masomo ya lugha nyingnezo}

A.je;lengo kubwa waielewe lugha hii ya kiingreza kwa UFASAHA na kuweza kuizungumza kwa UFANISI zaidi?

B.Je;lengo ni kuelewa maudhui\maada {content\topic} ya somo husika kwa UKAMILIFU na kwa UFANISI zaidi?

C.Au lengo ni kuwafanya wakalili na kuijua misamiati mingi zaidi ya kingreza ambayo wataitumia ktk kujibu maswali yanayotungwa kwa kiingreza kwa masomo husika?
========================
=
hebu tujaribu kufuatilia kwa kina na mjadala huu;
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-lugha-sahihi-ya-kujifunzia.html#post11944967

karibuni:

Me naona jibu ni B.
 
Kiswahili kina mapungufu, waambie wasomi watafsili topic ya classfication f2, wakiweza tuitumie, pia ktk hesabu neno log linamaana gani

Ni sisi na upungufu wetu hata sio kiswahili,ukisoma mada nyingi utakutana na maneno;latin word,greek word, na mengineyo ambayo humaanisha hakuna lugha inayojitoshelesha!
 
Attachments

  • 1440925298022.jpg
    1440925298022.jpg
    14.5 KB · Views: 106
HABARINI WANATAALUMA:
Leo tuzungumzie lugha ya kingreza ktk kufundishia darasan HUSUSAN SHULE ZA SEKONDARI, sote tukitambua ya kwamba imekuwa ni changamoto kubwa kwa wanafunzi na walimu ktk kuitumia kwa USAHIH\UFASAHA na kwa UKAMILIFU mkubwa.

Maswali:
tunapoitumia kama lugha ya kufundishia kwa masomo yote {ispokuwa somo la kiswahili na masomo ya lugha nyingnezo}

A.je;lengo kubwa waielewe lugha hii ya kiingreza kwa UFASAHA na kuweza kuizungumza kwa UFANISI zaidi?

B.Je;lengo ni kuelewa maudhui\maada {content\topic} ya somo husika kwa UKAMILIFU na kwa UFANISI zaidi?

C.Au lengo ni kuwafanya wakalili na kuijua misamiati mingi zaidi ya kingreza ambayo wataitumia ktk kujibu maswali yanayotungwa kwa kiingreza kwa masomo husika?
========================
=
hebu tujaribu kufuatilia kwa kina na mjadala huu;
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-lugha-sahihi-ya-kujifunzia.html#post11944967

karibuni:
We unashangaa cha kufundishia? PhDs ya Kiswahili inatolewa ujerumani!
kiswahili cha kuandika kilitokana na kijerumani, Enzi zileeee tulikuwa tunasoma
Aaaa, Beee, cheeee deeee! Ulikuwepo?
 
Nadhani tuliamua wenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.
Mzungu Mungu kasoro 'z' aliwasikiliza waswahili wanavyopiga domo akawaumbia herufi!
Ndo maana angalau leo kiswahili kinaandikika la sivyo mngeandika kichina Nyinyi!
 
we unashangaa cha kufundishia? Phds ya kiswahili inatolewa ujerumani!
Kiswahili cha kuandika kilitokana na kijerumani, enzi zileeee tulikuwa tunasoma
aaaa, beee, cheeee deeee! Ulikuwepo?

sikuwepo ndugu, mi ni wajuzi tu.
 
Nadhani tuliamua wenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.

Je, hatuwezi kubadili uamuzi wetu kwa sasa tuachane na kiingreza kama lugha ya kufundishia darasani na sasa tutumie lugha yetu ya kiswahili?
 
Huyo Zeruzeru mmeng'ang'ana aitwe albino, wakati albino ni kiingereza, mtaweza lakini?
Na ole wako umwite albino kwa kiswahili, utafungwa wewe!
 
Je, hatuwezi kubadili uamuzi wetu kwa sasa tuachane na kiingreza kama lugha ya kufundishia darasani na sasa tutumie lugha yetu ya kiswahili?

Haya sio maandazi uamue tu kubadili.
Kiswahili kina mapungufu mengi mno.
Asilimia 80% ya maneno yake yana asili ya KIARABU. Na mpk leo wanajaribu kubuni majina ya ajabu ajabu kuyafidia yale ya Kiingereza na Kiarabu.

Leo Waamue kufuta kiingereza kutumika mashuleni unadhani kutakuwa na Elimu imebaki hapo?
 
Back
Top Bottom