Mtihani Wa Drs.La 7 Wiki Ijayo

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Wiki ijayo drs. la 7 watafanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi nchini kote,ila hadi leo wasimamizi wa mitihani hiyo hawajafahamika ili hata waende semina ya usimamizi,hasa baadhi ya mikoa na hii ni kutokana na ukosefu wa hela ya kuwalipa wasimamizi hao wa mitihani hiyo.kwani taarifa zinapasha kuwa mpango uliopo ni walimu kusimamia mitihani kwa kukopwa.
 
kusimamia mitihani ni siri.sasa kama jina lako halipo ujue hujapata nafac. kwanza hii sio sehemu yake.malalamiko yako peleka UKAWA
 
Pesa ipo usiwe na wasiwasI kama hujapata barua subiri tumeshaingizia, halmashauri pesa za kutosha za mitihani
 
Back
Top Bottom