Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini wana JF. Nina mdogo wangu alimaliza shule ya ufundi O-level form six kapiga PCM. Mwaka 2009 na kapata phy D,chem S,na math E,akawa ameend dip ya ualim sasa ni mwl anafundisha somewhere...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
All Applicants who had already selected programs are advised to Login and View their application status. Login and click "My Profile" then click "View My Selection Status". If any of your...
3 Reactions
27 Replies
41K Views
kama NTA level 7 ni advanced or higher diploma inatolewa kwa miaka miwili ,je ukiwa na NTA level 7 utasoma NTA level 8 or degree kwa miaka mingapi??? nazungumzia ualimu.
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habar wadau Ukiachilia mbal Medical, na Education Je kuna fani gan nyingne ambayo ina soko kubwa la ajira(kuajiriwa) kwa hivi sasa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WADAU NAOMBA KUJUZWA, KUHUSU HIYO KOZI, Je MTU AKIHITIMU ANAFANYA KAZI WAPI NA ANAKUWA KAMA NANI?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau naomba anayejua kuhusu koz hii pale NIT anielezee kiundani kama ina aply wap inahitaj point ngap soko lake la ajira lipo vip pia kuhusu mkopo inasumbua au iko poa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada jamani kuna rafiki yangu anaomba mtu anayejua ada ya shule tajwa hapo juu.
0 Reactions
5 Replies
50K Views
Ningependa kutoa ushauri kwa HESLB kuhusu hii system yao ya kurudisha majina walio kosea et warekebishe warekebishe nini sasa mnapata wapi muda wa kufugua hayo mabahasha ya hawa watoto wa Tanzania...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
mm niko mwaka wa kwanza na nliappy kwa mara nyingine tena, nimepata taarifa kwamba jina langu limeonekana kwa walio kosea kuapply . ombi langu kwa yoyote awezaye anitumie majina yote link nizame...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
njoo Iringa kilolo nije Ruvuma... 0653 118119 0768 282930
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Natanguliza shukrani, naomba ufafanuzi kidogo, Hivi kama tunavojua HESLB hawatoi mikopo kwa watu waliomaliza zaidi ya miaka mitatu nyuma, labda usomee ualimu au udaktari ndio wanakupa Sasa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Nahitaji kupata msaada kwa anaefahamu taratibu za kupata Admision ya vyuo vya Afrika Kusini ikiwemo 1. Muda wa kufanya application 2. Njia ya kufanya application 3. Gharama za masomo kwa vyuo vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je? Wanaotakiwa ku confirm ordinary diploma udom ni wale waliochaguliwa direct kutoka tamisemi pekee au huambatana na walio fanya application NECTA? Nilifanya application online na baada ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Selected Candidate to Join Undergraduate Degree Programmes for the year 2014-2015 College of earth sciences.xls College of education.xls College of health sciences.xls College of humanities...
0 Reactions
194 Replies
46K Views
MTANDAO wa Wanafunzi nchini (TSNP) wametishia kukifikisha Mahakamani Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), pamoja na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) kutokana na chuo hicho kukipa usajili...
1 Reactions
92 Replies
19K Views
Kwa wale form six leaver kama we ni mtu mzima na akili zako timamu na unapenda elimu usije logwa uka chagua St Joseph, hivi vyuo vina matatzo sugu. Sio kama naongelea ushabiki noooo mi ni...
0 Reactions
96 Replies
18K Views
samahan wadau, nilikua nauliza vp mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2011 akiomba afya kwa mwaka huu nacte watamchagua au la?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau.... Kwa wale waliochaguliwa special program udom na wale wanaosubiri kudahiliwa kupitia nacte... Majina yawalio kosea huwa yanatoka chuoni. Maana sisi mwaka jana...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
SERIKALI imetoa waraka unaovielekeza vyuo vikuu vyote nchini, kuchelewa kuanza muhula wa masomo kwa mwezi mmoja, ili kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa waraka huo, badala ya...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Mwalimu wa physics anahitajika, awe kamaliza diploma anasubiria ajira, tuwasiliane kwa 0686958013
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Back
Top Bottom