Akademician
Senior Member
- May 20, 2015
- 143
- 36
Nimekuta jamaa ambao kwa mazungumzo yao nikabaini kuwa ni graduates wa education chuo flani nchini.
Katika stori zao nikasikia wanadai kuwa mwalimu wa ngazi ya Diploma anatakiwa kufundisha O-LEVEL tu Na haruhusiwi kufundisha A-LEVEL,
Ila mwalimu wa ngazi ya Degree anaruhusiwa kufundisha O-LEVEL & A-LEVEL.
Lina ukweli wowote?