Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,149
Ni swali kwa walimu na wadau wanaojua kuhusu waliofanikiwa kubadilshiwa madaraja yao hii July 2015 mnajua mishahara inabadilishwa lini?
Maafisa utumishi watu wa idara za mishahara mnaweza mkatusaidia ili nijue kura yangu anastahili magufuli au lowasa
:whoo:
Maana kama nitabadilishiwa kura yangu itakuwa unpredictable/undecided ..kama sitabadilishiwa hasira yangu haina mjadala
kudos