Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Sisi wanafunzi na wahitimu wa programu za Technical Education in Engineering (Civil, Electrical na Mechanical) katika Mbeya University of Science and Technology (MUST), tunakabiliwa na changamoto...
1 Reactions
2 Replies
291 Views
Anonymous
Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa...
2 Reactions
3 Replies
153 Views
Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende. Civil Mechanical Electtical Mineral Data...
10 Reactions
140 Replies
3K Views
Anonymous
Kumekuwa na changamoto ya watoto kulazimishwa kulipa hela ya tuition katika shule ya Msingi Swila iliyopo Kata ya Nyegezi, Wilaya ya Nyamagana - Mwanza. Walimu wawili ambao hata ualimu...
0 Reactions
3 Replies
218 Views
Ndugu Admin, Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho. Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Ndugu Admin, Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho. Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Tupo kwenye zama huru twapaswa kuhakiki je na uko ugaibuni au hapa ndani kupitia shule za kimataifa watoto huambiwa kua duniani binadamu wakwanza alikua nyani,sokwe tena kutoka TANZANIA?
8 Reactions
15 Replies
178 Views
Wakuu salama? Labda nianze na mimi Mimi ningependa kuwepo kwa Kozi ya Usimamizi wa Maudhui na Haki Miliki za Mtandaoni (Content Monetization & Creative Rights) Bongo waundaji maudhui (Creators)...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Anonymous
Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika...
1 Reactions
4 Replies
97 Views
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa...
8 Reactions
16 Replies
392 Views
Naomba kuuliza jmn. Utaratibu wa jambo hili ukoje hasa ktk mda wa kukaa kazin. Mf kwa mwalimu mwenye kwaka mmoja kazini anaruhusiwa kubadilishana baada ya kuthibitishwa kazin?
1 Reactions
131 Replies
30K Views
Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Anonymous
Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili...
1 Reactions
5 Replies
113 Views
Habari wadau, Naomba kujua shule nzuri kitaaluma na kinidhamu kwa Kibaha. Kijana wangu yupo std3 nataka kumuhamisha shule hii aliyopo hapana.
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Walimu katika Halmashauri Ya Morogoro DC.Intake ya mwezi wa 2/2026 hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa.Tumeandikishwa barua na kila tukifatilia hatupati majibu sahihi ya pesa hizo
0 Reactions
2 Replies
60 Views
ALEX FELIX MBELE elimu ya amalini sera za elimu Kwa sasa,mdau click uelewe
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na...
1 Reactions
0 Replies
40 Views
Habarini wakuu kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree? maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu...
10 Reactions
102 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health...
9 Reactions
52 Replies
979 Views
Kuna jambo ambalo linaendelea hapa kwenye Shule ya Msingi Bunge iliyopo Kata ya Kivukoni, Mtaa wa Shaaban Robert, ndani ya Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam, Wanafunzi zaidi ya 30 wa Darasa nne...
1 Reactions
8 Replies
180 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…