Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
oi wadau naomba kujua selections za nyerere memorial tayar au bado?
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Jiunge na mamilioni ya watu Duniani kote kusherehekea Siku ya GIS duniani, Jumatano, 14 Novemba 2012, Hotel ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, Dar es Salaam, Tanzania. Madhumuni ya siku hii ni ‘Kusogeza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Dear NACTE Ni matumaini yangu mu wazima na mungu anaendelea kuwapa afya ya kutosha ili kuweza kulitumia taifa letu TANZANIA. Mnamo mwezi April mwaka 2015 mlifungua rasmi maombi kwa watanzania...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
habar wakubwa....eti bcom in a/c UDSM kwa first year unasoma Nn na Nn au vtabu labda vtakiwavyo plz msaadaa..
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Haya vijana wa vyuoni, vitabu vya bureeeeeeeee. Ahsante Bill Gates. Fata Link: https://openstaxcollege.org/
3 Reactions
1 Replies
834 Views
Er
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HI Quality IT training Courseware for Individual and organization for more information call 0689-633877 or send e-mail info@kimbalecomputers.co.tz. sample of IT training courseware...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Achana na profile yako nenda kwenye website ya vyuo ulivyoomba majona tayari washaweka muda. Kama huwezi njoo pm nikusaidie. Utanitajia jina na vyuo ulivyoomba. Muda ushaisha mnatakiwa kuanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesahau password ya nacte nimejaribu kutumia ile sahemu ya aliyesahau password bado sijapata jibu Muda ndiyo unasonga sijui Majibu ktk profile yakoje mwenye ufahamu anisadie nini nifanye
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Samahan wakuu mimi nimejaribu kutafuta namna ya kubadilisha vyuo kwenye profile yangu ila cpaoni nifanyeje wakuu msaada wenu tafathali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa jf member,s nina ndugu yangu amemaliza form 4 alipata kiswahili b, history c, geograph d, english d, civics e, math f, ana division 4 ya point 36. Shule ya private hawamchukui
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habar wana jf,kwa mtu anaejua taratibu za kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine.naomba atujuze
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Za Mida Hii Ndugu Zangu! Napenda Kuwaarifu Wale Walio-aply Mmu Arusha Wao Hawaweki Majina Kwenye Website Bali Wana Kutumia Sms Na Wanakupa Maelekezo Either Uwatumie Address Wakutumie...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
http://www.mmu.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada tafadhal npo dar kna ndugu yangu anataka kusoma mambo ya adobe photoshop,illustrator,after effect, etc sasa ni wapi hapa nchini anaweza kupata hilo darsa na huwa inachukua muda gani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani kwa usumbufu wana jukwaa, naomba kuuliza, je inawezekana aliyemaliza kidato cha sita kuomba udahili kupitia NACTE....Sababu kuna mtu alikwenda jeshini na akamwachia ndugu yake amjazie...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenye taarifa kuhusu post za undergraduate kw 'university of iringa' atufahamishe tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani niliapply special diploma ya sayansi na hesabu udom lakin mpaka leo majibu hamna tatizo nin wakuu mwenye kujua naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu nimepitia ktk mtandao wa www.nacte.go.tz nimekuta tangazo la kuongezwa kwa muda wa maombi mpaka 28februari, 2015 wanaohitaji na wanazo sifa wapitie online waombe. Baraza la...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Back
Top Bottom